Jengo la Makamu wa Rais na muundo wa msikiti

Jengo la Makamu wa Rais na muundo wa msikiti

Status
Not open for further replies.
Naona wewe mlengo wako umekaa kiudaku udaku. Kama kweli upo makini kwa kuangalia taswira, majengo mangapi karibu na ikulu muonekano wake ni 'msikiti'. Msisitizo wako wa kukimbia ukweli umenifanya nichangie. Kwa elimu yangu ndogo muundo ule ni wa kiarabu na uarabu sio uislamu.
 
ukipita tena chukua picha.!

idawa
mayenga unaongelea jengo hili au?


ofisi.jpg

​

Hili ndilo jengo la Ofisi ya Makamu wa Rais wa Tanzania lilioko katika eneo la Tunguu nje kidogo ya Mji wa Zanzibar. Ofisi na makazi ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania iliyopo Zanzibar
 
Mods mmelala au, kwani topic kama hii inaongeza nini kwa watanzania? Iondoeni tena mleta mada mpigeni ban ya maisha aisey ili 'akijipanga' asiwe anapost upuuzi wa namna hii
 
Naona wewe mlengo wako umekaa kiudaku udaku. Kama kweli upo makini kwa kuangalia taswira, majengo mangapi karibu na ikulu muonekano wake ni 'msikiti'. Msisitizo wako wa kukimbia ukweli umenifanya nichangie. Kwa elimu yangu ndogo muundo ule ni wa kiarabu na uarabu sio uislamu.

Uarabu sio uislami? Usichekeshe walionuna.
 
acha umbea dogo, kama huna la kuandika kanawe miguu ukalale. cuf mkubwa ww... ova
Hapo nadhani huo ni msikiti from this sentiment then i don't need any proof,ila wanatakiwa wajue kwamba hii nchi kuna wakristu na waislam,so akija makamu wa kikristu itabidi pia na kanisa lijengwe hapo jirani yake,ngoma draw
 
ktk waliberal maarufu ww ni m1wapo, yaani umeshindwa kufikiria japo la maana kwa faida yako na taifa lako mpaka umeamua kuleta mada ya kijinga namna hii! cuf oyeee...
 
uarabu siyo uislamu, isipokuwa kuna waarabu ambao miongoni mwao ni waislamu... uislamu ni imani/dini na uarabu ni asili.
 
hapo ndo ukomo wako wa kufikiri ulipofikia, unapenda chokochoko tu, unajua hadi jengo liwe kama msikiti kuna vigezo gani muhimu vya kuangalia? uliberali utakupeleka kubaya brother....
 
Chadema imefata nini sasa hapa.. Kuwa mjinga siyo lazima kuuanika ujinga wako hapa
kwani hata mjengo wa ikulu si umefanana na msikiti.vumilieni tu ,CHADEMA wakikamata madaraka watabomoa yote.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom