Jengo la LAPF Millenium Tower laezuka paaa lote

Jengo la LAPF Millenium Tower laezuka paaa lote

Smart mwananchi

Senior Member
Joined
Jul 17, 2014
Posts
102
Reaction score
50

  1. [*=2]
    attachment.php

ASHUKURIWE MUNGU MAANA INGEKUWA NI SIKU YA KAZI LEO TUNGEZUNGUMZA VIFO VYA WATU KADHAA KAMA SIYO MAJERUHIII KADHAA MAANA HUWEZI AMINI KILICHOTEKEA KWENYE JENGO ZURI LA KUVUTIA LA LPF MILLENIUM TOWER.

PAA ZIMA LA JENGO LIMEAMUA KUJITUMBUA LENYEWE NA KUANGUKA CHINI KAMA MAJANI YA MITI.

TUNAOMBA CRB WAPITE WAANGALIE MAANA USALAMA WA WATU UKO SHAKANI.... NI JENGO AMBALO HALINA MIAKA KUMI NA MBILI AMBALO MWAKA JANA LIMEKABARATIWA KWA MABILIONI YA SHILINGI ZA WASTAAFUUUU.....

HII NI MARA YA PILI SHIDA KAMA HII KUTOKEA KUNA SIKU NDANI YA BANK YA CRDB MAJI YALIANZA KUMWAGIKA MISILI YA MFEREJI MKUBWAA NA TULIPATA HASARA.

MARA YA TATU NI MAISHA YA WATU YATAONDOKA TUNAOMBA VYOMBO HUSIKA VIIANGALIE LAPF KWA JICHO LA TATU.....HAWA LAPF WANA HOTEL AMBAYO HAIFANYI KAZI YENYE FLOOR 7 AMBAYO NI FULL FINISHED UNAUMA SANA......KWA MIAKA MITATU IMEKAA KIMYA UNAJIULIZA NINI MAANA YAKE ???? FEDHA ZA WASTAAFU ZIPO SALAMA KWELI HUKU JENGO LINAJITUMBUAA.....
 

Attachments

  • IMG_20151214_074550.jpg
    IMG_20151214_074550.jpg
    651.4 KB · Views: 4,118
  • IMG_20151214_074949.jpg
    IMG_20151214_074949.jpg
    532.3 KB · Views: 2,540
labda kwa kuwa yupo makufuli!, enzi hizo tungekuwa tunampigia mbuzi gitaa acheze!
 
Ayaa yaya yaya! Lakini mbona leo siku kazi mkuu ama ilikuwa jana?
 
Ni kweli yametokea ila chondechonde, mkiingiza siasa tu hapo, pombe inakua ngera hii.
 
yaani lile jengo lilivyo kali namna ile limeishia
kujitumbua paa lake..ama kweli sio kila king'aacho
ni dhahabu.
attachment.php
 
Hayo ni matokeo ya 10%, hakuna aliyefuatilia ubora wa kazi iliyokuwa inafanywa na Mkandarasi wakati wa ujenzi
 
Ukiacha huo ubovu wa kutukuka ktk hilo jengo na mengine mengi ya Dar na TZ kwa ujumla lakini mimi sijaridhishwa kabisa na ule ukaribu na barabara
 
Nackia hilo jengo la LAPF lipo kwenye hifadhi ya barabara na kwa upanuzi wa barabara ya Mwenge-Morocco alioagza Maguful na zle bilioni 4 za sherehe ya Uhuru sitashangaa mtaro wa barabara ukapitia jengo. Nilickia pia LAPF wana mpango wa kuhamia Mwanza likibomolewa
 
Back
Top Bottom