Jengo la Ikulu, Chamwino Dodoma

Leo ukurasa mpya umefunguliwa. Yaliyopita si ndwele .....
 

Hizi zilizopambwa ni Barabara za kwenda Ikulu au? Mbona pembeni Kuna vijumba vya watu vya ajabu ajabu?
 

Hizi zilizopambwa ni Barabara za kwenda Ikulu au? Mbona pembeni Kuna vijumba vya watu vya ajabu ajabu?View attachment 2628830
Ndio maana kikaitwa Kijiji cha Chamwino.

Hakuna nyumba za Tembe hapo kijijini. Watu wanajenga majumba kila kukicha.

Kwenye hivyo unavyoviita vijumba vya ajabu...kama huna zaidi ya 5m hupati kiwanja hapo. KWANZA viwanja vimeishaisha maeneo hayo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…