MzeeKipusa
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 2,705
- 4,978
Wale wote wenye uchu wa Madaraka,Inapendeza sana
Mabomu hayo ukijichanganya imekula kwkoMbona kuna mitungi ya gesi chakavu?
Namuomba Mungu akawaweke malaika zake, walilinde...na wale wote wanaopata bahati ya kufanyia Kazi kwenye Jengo hilo wakaongozwe na Mungu katika utendaji wa Kazi zao, kwà UTIIFU mkubwa, UNYENYEKEVU, UAMINIFU na kwà UZALENDOMmmhhh
Hili ni jengo zuri sana. Usilichukulie poa!Yaani hata architects wa Victorian age wasinge design utopolo kama huu
Beauty is relative Mr.Hili ni jengo zuri sana. Usilichukulie poa!
Mbona hii ni kama ile ya dar tu..Yaani hata architects wa Victorian age wasinge design utopolo kama huu
Kwa kufanana Rangi nyeupe au sio Bob?Mbona hii ni kama ile ya dar tu..
Na mimi sielewi kwanini wamerudia ramani ile ile ya Dar ambayo ilijengwa na mkoloni,ndio kuitangazia dunia hatun uwezo wa kufanya mambo kwa akili zetu wenyewe?Mbona hii ni kama ile ya dar tu..
Kupoteza fedha bure, hapakuwa na sababu ya msingi kuhamia Dodoma. Sababu za zamani zilizotolewa kuhamia Dodoma hazina maana tena leo katika digital world!Jengo la Ikulu , Chamwino Dodoma lina tarajiwa KUZINDULIWA leo (Siku ya Sita ya Juma) na Mhe. Rais Dkt. SAMIA SULUHU HASSAN ( Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Awamu ya Sita )
Namuomba sana MUNGU, aliwekee WOGA, HOFU, WASIWASI na MASHAKA,.. ili liweze kukaliwa tu na watu sahihi. Na wale wasiokua sahihi wasipate nafasi hata ya kulisogelea.
"Ikulu ni mahala patakatifu" Mwl. Nyerere ( Hayati Baba Wa Taifa )
"MUNGU IBARIKI AFRIKA, MUNGU IBARIKI TANZANIA"
View attachment 2628286
Sio PANGO LA WALANGUZIIkulu ni mahala patakatifu
Zanzibarian styleJengo la Ikulu , Chamwino Dodoma lina tarajiwa KUZINDULIWA leo (Siku ya Sita ya Juma) na Mhe. Rais Dkt. SAMIA SULUHU HASSAN ( Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Awamu ya Sita )
Namuomba sana MUNGU, aliwekee WOGA, HOFU, WASIWASI na MASHAKA,.. ili liweze kukaliwa tu na watu sahihi. Na wale wasiokua sahihi wasipate nafasi hata ya kulisogelea.
"Ikulu ni mahala patakatifu" Mwl. Nyerere ( Hayati Baba Wa Taifa )
"MUNGU IBARIKI AFRIKA, MUNGU IBARIKI TANZANIA"
View attachment 2628286
Mbona hii ni kama ile ya dar tu..
Francis Hutcheson (1694 - 1746 CE). Beauty is subjective - it is based on the experience of pleasure that we have when we look at or listen to certain things. There are two types of beauty - Absolute Beauty, the kind of beauty to be found in nature, and Relative Beauty, the beauty that characterizes art.Beauty is relative Mr.