Jengo la CCM Mtwara lateketezwa kwa moto

Jengo la CCM Mtwara lateketezwa kwa moto

Hao watu wa usalama kweli ni ovyo,vitu kama hivyo lazima vinakua predicted kwa jinsi hali ilivyokuwa,wangeweka pre emptive measure...jengo lichomwe mchana eti na watu wasiojulikana.upuuzi mtupu.
 
Kimya kingi kina mshindo ccm waliwaona watu wa mtwara kuwa poa tu unaona sasa ! Watani wakurya wanapingana visu vilabuni rasilimali zinabebwa jifunzeni mtwara mura ,ngombe wenu na nyie mliharibiwa na madini huko mtoni mkawa kimya munawaona walume wamakonde huko!
 
Nikweli kabisa hao ni magaidi tu wala sio mambo ya kisiasa. lol :heh:
 
hao watu wa usalama kweli ni ovyo,vitu kama hivyo lazima vinakua predicted kwa jinsi hali ilivyokuwa,wangeweka pre emptive measure...jengo lichomwe mchana eti na watu wasiojulikana.upuuzi mtupu.
haki huinua taifa kaka ....kinyume chake ...wanamacho hawaoni!
 
mtwara kutumika na wanasiasa hakutawasaidia ni vema wakae na kutafakari ili waendeleze mtwara yao.
 
Ntamdharau sana obama kama atakuja kwenye nchi hii with all these shits around...leadership vacuum
 
Bila shaka ni chadema .. Intelijensia

hili ndio tatizo na kansa ya kufikiri mlio nayo viongozi na wafuasi wa ccm,kila kitu mnasema ni chadema,badala ya kutafuta ufumbuzi wa muafaka na wana mtwara ninyi mnabaki kusema,ni chadema,kama mmeshindwa kuongoza basi kabizini nchi kwa chadema,iwaonyeshe jinsi ya kuwaongoza watanzania na sio kuwatawala,
 
Busara imeshindikana kabisa kwenye suala hili..! Mh. Wassira (uhusiano) upo..???
 
Back
Top Bottom