Jengo la CCM Mtwara lateketezwa kwa moto

Jengo la CCM Mtwara lateketezwa kwa moto

Alfu Lela Ulela

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2010
Posts
1,255
Reaction score
77
Safi sn wanamtwara gadhabu km zitawatafuna mpaka karibuni.
 
Na walaumu Polisi kushindwa kuhandle hii issue diplomatically,na serikali pia kwanza, wangetengeneza screen kubwa na wa wape haki wananchi ya kusikiliza nini kina jili bungeni,wajionee halafu waelekezwe kwamba kama hajaridhika ichaguliwe timu ya wananchi itakayo ongea na waziri wa nishati na madini sasa wao wamefunga TBC1 hairushi matangazo kwa hiyo habari wanazipata kwa watu wengine bila wao kusikiliza hii ngumu sana
 
Heko kwa Dr Slaa kuwafundisha watanzania kudai haki zao!!
 
MENDI huko Nigeria ilianza hivi hivi kwa sababu ya mafuta. Serikali yenye masilahi ya wananchi wake huwasikia wanachotaka na sio inachotaka.
 
hiyo siyo suala la gesi bali hii ni siasa,jengo la ccm linahusika na nini.
 
Back
Top Bottom