Plot4Sale Tunauza Nyumba, Mashamba na Viwanja sehemu mbalimbali

Samahani mkuu. Nimeingia kwenye huu uzi wako ili tu kuja kuangalia bei ya kuuzia! Yaani ni bilioni ngapi!! Baada ya hapo, naomba niwapishe wenye hela zao.
 
Mkuu hizo wanakodosha bei gani na idadi kamili ya frem na kodi zake kuna
mtu nataka nmpe mchanganuo anaweza kununua
 
Mkuu nimeshindwa hata kumshawishi

Jamaa alikuwa anatafuta sehem yakuwekeza 1.2M$ ila naona kwa hesabu hizo ni bora aendelee na wazo la fixed maana bank wanatoa 8 to 9 %
 
Mkuu nimeshindwa hata kumshawishi

Jamaa alikuwa anatafuta sehem yakuwekeza 1.2M$ ila naona kwa hesabu hizo ni bora aendelee na wazo la fixed maana bank wanatoa 8 to 9 %
Aje aongee na mwenyewe anaweza kupunguziwa huwezi jua mkuu..hili ananunua na anapata hela yake na jengo bado ni mali yake...kama unavyojua aridhi haishuki thamani
 
4B mbona cheap tena ukimringishia 3B hakatai.

Kumbe wanajisifu ooh ana mjengo kariakoo hamnalolote
 
Back
Top Bottom