neema prosper
Senior Member
- Nov 8, 2010
- 146
- 154
Kaka ABDULLATIF number ya simu uliyotoa haipo hewani. tatizo ni nini.
Tembelea MASKANI | Horti Organics ukurasa wa maswali na majibu. Utapata kila kitu hapo.
GREEN HOUSE
Hebu piga hesabu vizuri 1/8 ya ekari ni 500mita za eneo sawa na 50m*10m au 25m*20m. sasa wewe unasema 8m*15m =120mita za eneo hii sio 1/8mkuu kwani ekari ina 4000mita za eneo rekebisha hapo. pia nisaidie tank la lita500 linamwagilia mda gan kwenye vipimo vyako vya 8*15 likiwa limejaa? pia 8*15 idadi ya miche ni mingapi?
For Irrigation, Green Houses and associated material contact this man send msg on his whatsapp number +96898537738. He is
available here in TZ
GREEN HOUSE
Hebu piga hesabu vizuri 1/8 ya ekari ni 500mita za eneo sawa na 50m*10m au 25m*20m. sasa wewe unasema 8m*15m =120mita za eneo hii sio 1/8mkuu kwani ekari ina 4000mita za eneo rekebisha hapo. pia nisaidie tank la lita500 linamwagilia mda gan kwenye vipimo vyako vya 8*15 likiwa limejaa? pia 8*15 idadi ya miche ni mingapi?
Uzi huu upo karibia mwaka na miezi 4, bila shaka kuna waliojaribu na kufanikiwa, tunaomba feedback.
Nimemtembelea rafiki yangu mmoja aliyewekeza kwenye huu mradi, nimekuta anapanga kufyeka hicho kitalu ahesabu hasara. Anadai amefuata masharti ya utunzaji na mtaalamu mshauri wa kampuni ilyomjengea amekuwa anaemtemebelea kila wiki lakini bado matokeo sio kama alivyotegemea.
hii kitu hadi watu waje kustuka watalizwa sana.
kwanza mavuno yapo exaggrated na pili hakuna tofauti ya bei ya mazao ya hizo greenhouse na yaliyolimwa shambani. tatu greenhouse inatakiwa kuwa all weather hizi zetu haziwezi kuhimili baridi kali.Kwa nini mkuu??kuna nn ndani yake?
kwanza mavuno yapo exaggrated na pili hakuna tofauti ya bei ya mazao ya hizo greenhouse na yaliyolimwa shambani. tatu greenhouse inatakiwa kuwa all weather hizi zetu haziwezi kuhimili baridi kali.