Jeneza la Hayati Mwinyi lilibebwa na Wajumbe wa Baraza la Ulamaa kwa sababu alikuwa Rais au Uchamungu wake?

Screenshot_20240303-092518.png

Ulamaa ndo nini mkuu, 🤔
 
Waislam wote Wana Imani Bwashee
Neno "imani" hutumika kwa aina tofautitofauti kulingana na eneo.
-kwa mfano,ukiwa pwani ukaambiwa uwe na imani mara nyingi humaanisha ufanye yampendezayo Mola.Uwe mnyenyekevu.
-sehemu nyingine watamaanisha uamini ukisikiacho au uambiwacho n.k.
-sehemu nyingine watanaanisha uwe na huruma.
 
Ndugu zangu Waislam msichoke kunipa Elimu kwani Mungu tunayemtumikia ni mmoja Sisi pamoja nanyi.

Basi naomba majibu ya swali langu hapo juu.

Ahsanteni.

Nawatakieni Dominica Njema.😄

CC: Pohamba, Malaria 2, FaizaFoxy
Ukifuatia historia yake alikuwa mwanazuoni adidi wa Islam na angelikuwa sheikh barobaro Afrika endapo asingeingia mstari wa siasa.

Naona, WanaUlamaa waliomba kumsindikiza mwanazuoni mwenzao mabegani kwao
 
Neno "imani" hutumika kwa aina tofautitofauti kulingana na eneo.
-kwa mfano,ukiwa pwani ukaambiwa uwe na imani mara nyingi humaanisha ufanye yampendezayo Mola.Uwe mnyenyekevu.
-sehemu nyingine watamaanisha uamini ukisikiacho au uambiwacho n.k.
-sehemu nyingine watanaanisha uwe na huruma.
Wagalatia tunaambiwa Imani Chanzo chake ni kusikia na kusikia huja kwa Neno la Kristo
 
Back
Top Bottom