Jenerali Ulimwengu: Ukoloni-mkongwe na Ukoloni Mamboleo bado unatuangamiza | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jenerali Ulimwengu: Ukoloni-mkongwe na Ukoloni Mamboleo bado unatuangamiza

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by bagamoyo, Mar 14, 2011.

 1. b

  bagamoyo JF-Expert Member

  #1
  Mar 14, 2011
  Joined: Jan 14, 2010
  Messages: 4,525
  Likes Received: 2,108
  Trophy Points: 280
  • Berlin Conference 1884/85 Scramble for Africa
  • Parcelling of land in Africa
  • search for scientific knowledge
  • Imperial ambitions
  • lines and sketchies a.k.a borders
  • Colonies
  • names negated
  • Traditional leaders answerable to their communities was destroyed
  • Puppets where put in place to serve their masters in Europe
  • Pan african movement youth shock
  • French colonies and Paris
  African Research And Resource Forum(ARRF)
  Public Lecture - ARRF- FORUM - Jenerali Ulimwengu part 2-6


  PART 2


  PART 3
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 2. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #2
  Apr 16, 2011
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160


  • ...Hii Historia kama inajirudia vile? Mfano; kwa yanayotokea Libya na Ivory Coast.
   Refer back Wakoloni walivyoweza kuligawa bara la Africa na kuwarubuni na hata kuwaua ma chief wa enzi zile.

   Katika ku serve their purposes, sasa hutumia propaganda za kuimarisha Demokrasia.
   Tumesoma, lakini je? Tumeelimika?

   Kama kizazi hiki kinavyowashangaa mababu zetu walivyoweza rubuniwa na shanga, vioo, magobole yaliyochoka, Rum na whisky ...wakoloni wakajichukulia dhahabu, mazao na watumwa ...Ndivyo sasa hao hao westerners wanavyo warubuni Rebels na silaha zilizochoka, western suits kwa viongozi wao, na entry Visa za nchi za ulaya kwa makubaliano waje wawauzie mafuta kwa bei ya chini!

   Haijanikalia sawa kabisa. Historia itakuja kutuhukumu na "Ujinga wa Mwafrika."

   ...nasi Tanzania tujiangalie tumeangukia kwenye mitego gani kwenye maliasili zetu?
   hakuna msaada au mikopo isiyokuwa na masharti! Hebu nasi tujichunguze!

   Mining in Tanzania - CountryMine | InfoMine :A S check_03::A S check_03::A S check_03:
   
Loading...