Tangantika
JF-Expert Member
- Aug 12, 2018
- 4,941
- 6,205
Kwani UDSM waliwahi gundua nini kikubwa hio miaka ya 80.
Teknolojia gani imebuniwa na UDSM imemsaidia kila mtanzania kujikomboa.
UDSM NA vyuo vingine vya zamani havikuweza kubuni jambo lolote la kuikomboa TZ ndio maana TZ ni masikini.
Wakibisha walete ushahidi.
Uchumi wa TZ umedidimizwa na wasomi wa kutoka UDSM NK.
Navyojua kwa dunia ya sasa mtu anaweza kujielimisha na kuelimika zaidi ya mtu wa zamani.Hii ni kuyokana na mifumo ya kirlimu kuwa wazi zaidi bila kutegemea chanzo kimoja cha maarifa.
Hawa wazee utawasikia wakisema "darasa ka nne la zamani ni zaidi ya form four wa sasa".
Hii inaashitia kuwa wasomi, wasomi huongea kwa tafiti sio opinion.
GENERALI AWEKE UTAFITI UNAOTHIBITISHA.
Vinginevyo anachangamsha genge tu.
Mtu anapozeeka huzidi kufilisika akili.