PreGE2025 Jenerali Ulimwengu - no reforms no election 2025 wana madai ya msingi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Rais Samia akitwaa urais utakua na janaba kwelikweli jvi atapata na confidence kbsa ya kusimama kusema yy rais..uraisi wa aibu haijawai kutokea..
Na ajue tyr wananchi tuna scars haitojifuta hata vutukuu vyetu vitakuja kulipa
 
Mtaandika nyuzi nyingi za kijinga, mtafanya maandamano na mtagomea uchaguzi humuhumu JF ila nje kwenye mitaa hakuna mambo haya.

Samia anapiga kazi na wananchi watampima kwa kazi zake.

Mitano tena
Wewe endelea kuishi kwa shemeji ako maana huna akili hata ya kulipa kodi room moja
 
Mwaka huu chama dola kongwe kimekabwa kila kona na No Reforms No Election 2025
 
Logical truth= comformity between what is in your mind and what you speak or write.

Aisee kama vinakinzana hivi(no comformity) nikuikatili vibaya nafsi na akili yako mwenyewe😁

The object of the mind is truth always 🤣
"Logical truth = conformity between what is in your mind and what you speak or write" ni idea nzuri lakini haijakaa kitaalamu kabisa. Inaelekea kuelezea ukweli wa ndani — kusema kile unachoamini — lakini haimaanishi "logical truth" kihalisia.

Kwa logic ya kitaalamu, “logical truth” ni ile statement ambayo ni kweli kila mara, bila kujali hali ya dunia. Mfano, “Kama wote ni binadamu, na John ni binadamu, basi John ni binadamu” — hiyo ni logical truth kwa sababu inatokana na structure yake, sio kwa sababu mtu anaiamini au la
 
14 Aprili 2025

JENERALI ULIMWENGU - NO REFORMS NO ELECTION 2025

View: https://m.youtube.com/watch?v=DVu9sNRqeXM

Chaguzi za 2019, 2020 na 2024 uvunjaji wa kushangaza wa kuvuruga uchaguzi yalifanyika bila haya, asema Jenerali Ulimwengu.

Serikali inatakiwa iwe na haya isifanye mambo ya aibu kama ya 2019, 2020 na 2024 yaliyotokea wamejivunjia heshima na hii inatupeleka mahali pagumu sana

Wale wanaopinga kuona haya kwa serikali ndiyo wanasulubiwa hii ni jambo la ajabu sana anasisitiza Jenerali Ulimwengu

Naamini kuna wachache ndani ya CCM wanaoipenda nchi yao ambao wanaweza kuwaambia wenzao wasio na haya ndani ya CCM wajirudi ili kunusuru nchi yetu

Nikichuja madai ya wanaodai No Reforms No Election 2025 kuna mambo ya msingi, mfano INEC ipachikwe jina Tume Huru hata ivishwe hirizi ya 'uhuru' ukweli uteuzi wa mwenyekiti wa INEC na wajumbe wake hawawezi kutenda haki kwa wasio CCM

Nimetembea nchi nyingi zilikuwa na wastaarabu kule Sierra Leone, Somalia , Central African Republic walikuwa watu wapole sana ila kulipotokea raia kuchoka uonevu tunaona jinsi nchi hizo zilizokuja kulipuka vurugu ktk nchi hizo

Serikali ya Rais Samia Hassan imedhamiria kuwakamata wapinzani wake wa kisiasa ili wasishiriki uchaguzi. Nchi yetu tayari ina vita vya wenyewe kwa wenyewe mfano watu kupotezwa, kutekwa Mzee Kibao, Deus Soka na wengine wengi ni kiashiria cha vita ya wenyewe kwa wenyewe Tanzania

Tanzania tunaona watu wachache sana wenye sigda kati paji lake la uso huku wanafanya mambo ya haramu kabisa kunyima haki kwa watu wengine.

Uchaguzi unaokuja haona udhu wowote bali una najisi na ni mchezo wa kuigiza. Muda upo wa kuweza kuitisha bunge na kufanya mabadiliko ya sheria na kanuni zinazosimamia mchakato mzima wa uchaguzi amalizia Jenerali Ulimwengu.

wakayadai ubeligiji walikopewa makazi zilipo familia zao 🐒
 
Tanzania ina mimba kubwa, inakaribia kujifungua. AMEN.
 
Nasoma comments
 
Msajili alkifute chadema kwa uasi. Chama kinatangaza hadharani kwamba kitafanya UASI na msajili anakichekea tu.
Kifutwe fasta. Hatutaki mambo kama yale ya HAMAS nchini mwetu.
 
14 Aprili 2025

Naye mkurugenzi wa INEC Bw. Ramadhani Kailima azungumza

View: https://m.youtube.com/watch?v=S4zhMMI7IgE

Chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania, CHADEMA, kimezuiwa kushiriki uchaguzi mkuu wa mwaka huu, siku chache baada ya kiongozi wake kufunguliwa mashtaka ya uhaini.

Mkurugenzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Ramadhani Kailima, amesema CHADEMA imeshindwa kusaini hati ya maadili iliyotakiwa kufanyika Jumamosi, hivyo kumaanisha kuwa chama hicho kimeondolewa kwenye uchaguzi wa Oktoba 2025.
View attachment 3304548

15 April 2025

Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA, Wakili Nshala Akosoa Hoja Ya Tume: 'Wamejielekeza Vibaya'​

View: https://m.youtube.com/watch?v=CL_Or173x_o

Dk. Rugemeleza Albert Kamuhabwa Nshala mwanasheria mkuu wa CHADEMA akiongea katika press conference leo ....

Kama mtu anaelewa kifungu cha 162 cha sheria ya uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani kinaipa Tume (Tume Huru INEC) ...​

Namuomba Mungu Samia afe kabla ya uchaguzi ili watz tupumue tena kama kwa shetani jiwe
 
Back
Top Bottom