Jenerali Ulimwengu, njoo kivingine!

Jenerali Ulimwengu, njoo kivingine!

Ukichanganya na fasihi ndio kabisa!

Naamu ndio kabisaa lakini few GTs hatuwezi kunaswa na mitego ya kitoto.

Hivi kwa nini hakuja na article ya SLAA is the man to watch??
 
Mkuu sikatai kuwa uelewa wako na wangu juu ya uandishi wa Ulimwengu uko tofauti.
Hoja niliyoileta ni kuwa alikuwa bias kwa kumuongezea publicity lowassa!

Kama sio hivyo ndio maana nimemualika Ulimwengu aje kivingine.

UJANJA UNA MWISHO!

Kama utaelewa fasihi ya Ulimwengu, badala ya kumjenga EL, makala zake zilikuwa zinamwanika EL.
Audience ya gazeti The East African wameelewa maana yake!
 
Timing ya article yake ya mwisho ya kumsifu lowassa inaweza kutufungua akili kwa wale tusioelewa!
 
Kama utaelewa fasihi ya Ulimwengu, badala ya kumjenga EL, makala zake zilikuwa zinamwanika EL.
Audience ya gazeti The East African wameelewa maana yake!
Audiance ya gazeti hili haiexclude wanaJF mimi nikiwa mmoja wapo.Rather audiance ya gazeti hili ni walami na wasomi ....

Audiance hii ni muhimu sana kwani wanacc wengi ndio wahusika na ndio wahusika katika kufanya decision.

Audiance ya gazeti hili ni ya kimataifa zaidi inayoshawishi jumuia ya kimataifa.

Unawezaje kuelezea mwandishi nguli na anayeujua mfumo aseme EL is the man to watch ambaye hata 5 bora hajaingia?how can he miss?
 
Naamu ndio kabisaa lakini few GTs hatuwezi kunaswa na mitego ya kitoto.

Hivi kwa nini hakuja na article ya SLAA is the man to watch??

Kwani alipoandika 'he has gathered such steam in his quest as to look unstoppable' amemaanisha nini?
 
Ukichanganya na fasihi ndio kabisa!

Mkuu,
Nakubaliana nawe kabisa lugha na fasihi imewachanganya wengi

Catchword: Juggernaut: a massive inexorable force, campaign, movement, or object that crushes whatever is in its path <an advertising juggernaut> <a political juggernaut>

Mara nyingine CCM hawatamuachia mtu aendeshe kampeni ya aina ya ''safari ya matumaini'' kwa watia nia manake imewaacha CCM vipande vipande: Hapo Jenerali Ulimwengu alikuwa anatoa ''tahadhari'' ya kuwaachia watu kama kina Lowassa kujaribu kwa njia/gharama yoyote kuikamata Ikulu
 
Kwani alipoandika 'he has gathered such steam in his quest as to look unstoppable' amemaanisha nini?

Did you agree that he was or looked like unstoppable?

Try and forget about the details of the article concentrate on the intution and intention of the author
 
Ni mwaka wa uchaguzi ambapo tunategemea na kutarajia watu muhimu au viongozi au waandishi kuchukua na kuupamba upande wanaouamini au kutegemea maslahi.

Kuna mada iliwahi kuonekana humu jamvini lakini ilipotea kwa bahati mbaya.

Mada hiyo ilionya waandishi wa habari kutohadaa wananchi juu ya nani anayekubalika na kuwa mgombea wa urais.Mada hii ilikumbushia madhara ya wanahabari kuwaaminisha watanzania kuwa huyu ndiye kumbe ni bomu.sijui mada hiyo imepotelea wapi ndio maana nimeleta mada hii hapa jamvini.

Jenerali Ulimwengu mwandishi mkongwe na mwenye heshima katika tasnia ya uandishi na serikali na nchi hii au East Africa kwa ujumla.

Mwandishi huyu aliitumia kalamu yake na ujuvi wake wa serikalini kutushawishi watanzania,wazalendo,ccm na Team lowassa kuwa EL ndiye mgombea anayekubalika na ni mgombea sahihi.

Kazi hii aliifanya kwa ustadi mkubwa kwa kutumia lugha ya na platform za kilami kujaribu kuuza jina la EL.

Inawezekana aliifanya kazi hii kwa utashi au kwa kuhongwa lakini tunamshukuru Mungu kuwa amemuumbua!

Ulimwengu alitoa articles mbili ninazozikumbuka na kuziona hapa JF zote zikituaminisha madudu au hadaa kwamba EL ndio.

Nashukuru responce ya wanaJF zilikuwa chache pengine ni ku-ignore au ignorance ya members wa wakati huu.

Jishughulisheni kuzitafuta articles hizo humu JF mtanielewa naongelea nini.

Sasa ombi langu kwa comrade Ulimwengu ni kuja kivingine kama ataweza au kununuliwa!

Nataka azithibitishe articles zake kwa kuhakikisha ccm inadondoka kwa kuwa maoni yake yake yalikuwa sahihi.

pole natoa kwa wazee wote wa vibahasha!!!

Mi nadhani unakosea kum attack jenerali ulimwengu, ni haki yake kikatiba kumtaka anaemtaka, kuna watu leo wanaomuona magufuli kama malaika fulani, lakn wapo wanaompinga, hata akija Hittler leo, hawezi kukosa wafuasi, vivyo hivyo EL asingeweza kukosa wafuasi, na kwa taarifa tu, uimara wa EL na watu wake ndo imepelekea kumpata magufuli ambae naamini unampenda japo huja declare, otherwise tungekuwa tunaongea story nyingine tofauti kabisa, kwa hiyo heshimu mawazo ya wenzio.
 
Ninamuattack Ulimwengu kwa kosa la kimfagilia EL ilihali akijua sio.
Ninamuattack kwa kujitoa ufahamu na kujilinganisha na waandishi wa channel ten !au ITV ...ninamuattack kwa kuuweka weledi wake mfukoni na kuamua kununuliwa au kuweka mbele mapenzi yake kwa lowasssa huku akijua au akiwa na uwezo wa kuupata ukweli

ninamkandia kwa kutaka kuhadaa umma na ulimwengu kama lowassa ndiye kumbe ukweli sio hivyo.

Ninamchukia kwa ulaghai pengine alizowea kuufanya bila sisi kujua kwa miaka mingi.

Ninamuattack ili akome kupotosha kama ni mzalendo wa kweli.

sikatai Ulimwengu kuwa na upande lakini napenda awe honest ikiwa ni pamoja na kujitanabaisha yuko upande upi anapoandika maandiko yake!!

Ndio maana nimetoa fursa ya yeye kuja kivinge.

by the way naomba ureplace neno attack katika maandishi yangu na neno confront!
 
Did you agree that he was or looked like unstoppable?

Try and forget about the details of the article concentrate on the intution and intention of the author

Please try and understand the statement regarding Lowassa posturing like an unstoppable juggernaut...
 
Makala aliyoandika Jenerali Ulimwengu haikuchapishwa katika gazeti lake la Raia Mwema. Ilichapishwa katka gazeti la "The East African". Katika toleo la juma lililopita (July 4 - 10) Jenerali alimwelezea Lowassa kama "Political juggernaut tho even Mwalimu cannot stop". Yaani Lowassa ana nguvu kali sana ambayo hata Mwalimu asingeweza kuizuia". Wale wanaosoma makala za Jenerali watakumbuka kwamba mieze michache iliyopita aliandika katika gazeti la "Raia Mwema" kwamba Mwalimu anaongoza nchi hata akiwa kaburini. Katika kusema hivyo Jenerali alikuwa anakiri kwamba japo mwalimu alikufa takribani miaka 15 iliyopita bado mambo msimamo wake katika masuala kadhaa unaheshimiwa. Moja wapo ya msimao wake kuhusu EL ni kwamba alikuwa hafai kuwa Rais wa nchi kutokana na mapungufu yake katika masuala ya maadili.

Binafsi niliposoma makala ile nilimshangaa sana Jenerali, mtu ambaye namkubali sana katika uchambuzi wa masuala ya siasa. Lakini katika hili alichemsha. Ile nguvu au gharika iliweza kuzuiwa na kidole kimoja tu.
 
Mkuu mimi sikumshangaa bali nilimuingiza katika kundi la wazee wa vibahasha
 
Hii pia inaeleza hali halisi lakini haimpigii chapuo EL.

siku hizi watu hawataki kuambiwa ukweli,Mimi siyo mshabiki wa Barcelona lakini nikisikia wanakuja kucheza Na simba ntajua kuwa tutafungwa Na hiyo ndiyo hali halisi.
 
Lugha ya bibi si mchezo unaweza kujikuta unaongea vitu vya ajabu sana. Viva Le jenerali, jamaa yuko vizuri.

Mleta mada kapige pige brashi lugha ya bibi ndio urudi tena na hii mada yako.
 
Lugha ya bibi si mchezo unaweza kujikuta unaongea vitu vya ajabu sana. Viva Le jenerali, jamaa yuko vizuri.

Mleta mada kapige pige brashi lugha ya bibi ndio urudi tena na hii mada yako.
Hata kama angetumia kigiriki sisi wataalamu wa kusoma mchezo tungemshtukia tu...namualika aje kivingine in favour of mwingine probably this time Magufuli.

Angekuja kana Mtatiro ningemuelewa
 
Mwandishi anaandika facts , hatakiwi kuwa na upendeleo , alicho kuwa anaandika Jenerali ni kitu kilicho kuwa kina tokea , sio maoni yake au kitu kitacho tokea kwani yeye si mtabiri , na kuweka maoni yake ingekuwa anaupendeleo
, hivyo aliwaachia wenye kazi zao wafanye , iwe kamati ya maadili , cc, Nec au mkutano mkuu ...... Au wapiga kura
 
https://www.jamiiforums.com/politic...wete-hots-up-lowassa-is-the-man-to-watch.html

hii hapa ni article nyingine na kwa bahati nzuri post namba 5 na namba 6 nilionesha hofu yangu juu ya Ulimwengu.

Alitumia lugha ya malkia kuhadaa na kuwapumbaza watanzania lakini lengo kuu ni kupumbaza jumuiya ya kimataifa kuwa EL ndiye...kwamba EL ndio mwenye nguvu ...hapa alikuwa ana -echo misemo ya Team lowassa Kingunge inclusive.

Kuchamba kwingi huondoka na ma.vi!

Mimi nasubiri kwa hamu Raia Mwema ya Jumatano (16/7/15) nione atatoka vipi huyu GENERALI!
 
Mwandishi anaandika facts , hatakiwi kuwa na upendeleo , alicho kuwa anaandika Jenerali ni kitu kilicho kuwa kina tokea , sio maoni yake au kitu kitacho tokea kwani yeye si mtabiri , na kuweka maoni yake ingekuwa anaupendeleo
, hivyo aliwaachia wenye kazi zao wafanye , iwe kamati ya maadili , cc, Nec au mkutano mkuu ...... Au wapiga kura

Kwahiyo mimi nikikwambia kwamba mimi ndiyo BABA yako, na wewe utakwenda kuandika hivyo? "By JK Nyerere"
 
Back
Top Bottom