Jenerali Ulimwengu, njoo kivingine!

Jenerali Ulimwengu, njoo kivingine!

meningitis

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2010
Posts
8,464
Reaction score
4,828
Ni mwaka wa uchaguzi ambapo tunategemea na kutarajia watu muhimu au viongozi au waandishi kuchukua na kuupamba upande wanaouamini au kutegemea maslahi.

Kuna mada iliwahi kuonekana humu jamvini lakini ilipotea kwa bahati mbaya.

Mada hiyo ilionya waandishi wa habari kutohadaa wananchi juu ya nani anayekubalika na kuwa mgombea wa urais.Mada hii ilikumbushia madhara ya wanahabari kuwaaminisha watanzania kuwa huyu ndiye kumbe ni bomu.sijui mada hiyo imepotelea wapi ndio maana nimeleta mada hii hapa jamvini.

Jenerali Ulimwengu mwandishi mkongwe na mwenye heshima katika tasnia ya uandishi na serikali na nchi hii au East Africa kwa ujumla.

Mwandishi huyu aliitumia kalamu yake na ujuvi wake wa Serikalini kutushawishi watanzania, wazalendo, CCM na Team Lowassa kuwa EL ndiye mgombea anayekubalika na ni mgombea sahihi.

Kazi hii aliifanya kwa ustadi mkubwa kwa kutumia lugha ya na platform za kilami kujaribu kuuza jina la EL.Inawezekana aliifanya kazi hii kwa utashi au kwa kuhongwa lakini tunamshukuru Mungu kuwa amemuumbua!

Ulimwengu alitoa articles mbili ninazozikumbuka na kuziona hapa JF zote zikituaminisha madudu au hadaa kwamba EL ndio. Nashukuru responce ya wanaJF zilikuwa chache pengine ni ku-ignore au ignorance ya members wa wakati huu.

Jishughulisheni kuzitafuta articles hizo humu JF mtanielewa naongelea nini.Sasa ombi langu kwa comrade Ulimwengu ni kuja kivingine kama ataweza au kununuliwa!

Nataka azithibitishe articles zake kwa kuhakikisha CCM inadondoka kwa kuwa maoni yake yake yalikuwa sahihi pole natoa kwa wazee wote wa vibahasha!
 
Labda sikuziona hizo makala. Jenerali huyu huyu ninayemfahamu ampigie chapuo Lowassa?
Au fasihi aliyotumia Ulimwengu ilikuwa kubwa kwa mleta maada?
Mwenye link ya hizo makala tafadhali azimwage hapa.
Isije ikawa mleta maada anaugua meningitis?
 
Acha Uongo, Raia Mwema muda wote halikuwa kwa Mamvi, hata kubenea kuna kipindi aliyumba akawa anaandika mbinu za kumkata Lowassa kwa njia ya kulaumu au kufichua mbinu. GENERALI Ulimwengu muda wote hajawahi kuwa kwa Lowassa, Kibanda ndo alihama kabisa Tanzania Daima akaenda kwa Bashe Habari corporation ili atumike vizuri. MUNGU kaipenda zaidi nchi
 
Labda sikuziona hizo makala. Jenerari huyu huyu ninayemfahamu ampigie chapuo Lowassa?
Au fasihi aliyotumia Ulimwengu ilikuwa kubwa kwa mleta maada?
Mwenye link ya hizo makala tafadhali azimwage hapa.
Isije ikawa mleta maada anaugua meningitis?

Mkuu huwa napenda kumsoma mwandishi na kuekewa andiko lake lakini huwa naenda mbali kuangalia kwa nini ameandika alichoandika na kwa manufaa ya nani.
 
Mkuu hizo article niliziona zote ushauri wangu nenda English Course...

Hakuwa anasema EL anafaa, bali kwenye article yake moja alisema anatumia nguvu kuonyesha kwamba anafaa, mfano wa kutumia nyundo kuua nzi (yaani ametumia gharama kubwa kupata wadhamini) ingawa ni wadhamini wachache wanatakiwa.., pia akasema kipindi kile Baba wa Taifa alimsimamisha je kipindi hiki ni nani ana ubavu wa kumsimamisha (katika NEC)
 
Alikuwa anamkingia kifua sema kitaalam sana

Raia Mwema ndio walikuja na Majina ya Jaji Ramadhani, Balozi Mahiga na Migiro ili kuivuruga Kambi ya Lowassa isijue chaguo la system, wakaanza mashambulizi dhidi ya Jaji na Migiro eti kafukuzwa UN wakamsahau Magufuli, Siasa sio kanuni wala pesa kama alivo kariri Nchimbi, Siasa ni Mbinu na ndicho kilichowagharimu
 
Nauliza tena mkuu hivi hii lugha ya kigeni ipo hata kwenye your tenth language let alone second au third....

Soma tena alafu niambie ni wapi Ulimwengu amesema Lowassa ndio anafaa au ameelezea kilichokuwa kinaendelea ni kumsafisha na kununua watu ili aonekane anafaa

Edward Lowassa wants to be president, and he has gathered such steam in his quest as to look unstoppable. He has collected sponsors and supporters countrywide on a scale that all his rivals put together cannot equal: Where the requirement was a mere four hundred or so signatures to allow him to file the requisite forms, he has handed in about a million, making the party requirement look silly.

Party bigwigs from different eras of the country's history have been unabashed in their public support for this candidate. Social media platforms are flooded with his portraits and "Friends of Lowassa" messages. Attempts have been made to clear his name regarding the independent energy contract scandal over which he resigned as premier eight years ago.

There have been statements to the effect that founding father Julius Nyerere never opposed him in a past attempt to become president, and that is a lie. As though it mattered. It doesn't matter now whether or not Nyerere opposed him in the past; he cannot oppose him now, and the man is rocking and rolling.

Lowassa is on a catch-me-if you-can lap that has left everyone agape.

Now the process of sifting through the candidacies gets underway, as party structures decide whom to axe and whom to bless, this to be done in two weeks or so.
 
https://www.jamiiforums.com/politic...wete-hots-up-lowassa-is-the-man-to-watch.html

hii hapa ni article nyingine na kwa bahati nzuri post namba 5 na namba 6 nilionesha hofu yangu juu ya Ulimwengu.

Alitumia lugha ya malkia kuhadaa na kuwapumbaza watanzania lakini lengo kuu ni kupumbaza jumuiya ya kimataifa kuwa EL ndiye...kwamba EL ndio mwenye nguvu ...hapa alikuwa ana -echo misemo ya Team lowassa Kingunge inclusive.
 
Nashukuru kwa link na ukweli wenyewe nilishaisoma kwenye the East African.
Suala lenyewe sasa. Kwa uelewa wangu au upeo wangu wa lugha ya malkia, Ulimwengu hakumpigia chapuo EL katika makala hiyo. Kinyume chake anakejeli iweje mposaji atoe mgodi wa dhahabu wakati baba mkwe mtarajiwa anataka ng'ombe wawili tu wa kulimia?

Mkuu sikatai kuwa uelewa wako na wangu juu ya uandishi wa Ulimwengu uko tofauti.
Hoja niliyoileta ni kuwa alikuwa bias kwa kumuongezea publicity lowassa!

Kama sio hivyo ndio maana nimemualika Ulimwengu aje kivingine.


UJANJA UNA MWISHO!
 
https://www.jamiiforums.com/politic...wete-hots-up-lowassa-is-the-man-to-watch.html

hii hapa ni article nyingine na kwa bahati nzuri post namba 5 na namba 6 nilionesha hofu yangu juu ya Ulimwengu.

Alitumia lugha ya malkia kuhadaa na kuwapumbaza watanzania lakini lengo kuu ni kupumbaza jumuiya ya kimataifa kuwa EL ndiye...kwamba EL ndio mwenye nguvu ...hapa alikuwa ana -echo misemo ya Team lowassa Kingunge inclusive.

Hii pia inaeleza hali halisi lakini haimpigii chapuo EL.
 
Ni mwaka wa uchaguzi ambapo tunategemea na kutarajia watu muhimu au viongozi au waandishi kuchukua na kuupamba upande wanaouamini au kutegemea maslahi.

Kuna mada iliwahi kuonekana humu jamvini lakini ilipotea kwa bahati mbaya.

Mada hiyo ilionya waandishi wa habari kutohadaa wananchi juu ya nani anayekubalika na kuwa mgombea wa urais.Mada hii ilikumbushia madhara ya wanahabari kuwaaminisha watanzania kuwa huyu ndiye kumbe ni bomu.sijui mada hiyo imepotelea wapi ndio maana nimeleta mada hii hapa jamvini.

Jenerali Ulimwengu mwandishi mkongwe na mwenye heshima katika tasnia ya uandishi na serikali na nchi hii au East Africa kwa ujumla.

Mwandishi huyu aliitumia kalamu yake na ujuvi wake wa serikalini kutushawishi watanzania,wazalendo,ccm na Team lowassa kuwa EL ndiye mgombea anayekubalika na ni mgombea sahihi.

Kazi hii aliifanya kwa ustadi mkubwa kwa kutumia lugha ya na platform za kilami kujaribu kuuza jina la EL.

Inawezekana aliifanya kazi hii kwa utashi au kwa kuhongwa lakini tunamshukuru Mungu kuwa amemuumbua!

Ulimwengu alitoa articles mbili ninazozikumbuka na kuziona hapa JF zote zikituaminisha madudu au hadaa kwamba EL ndio.

Nashukuru responce ya wanaJF zilikuwa chache pengine ni ku-ignore au ignorance ya members wa wakati huu.

Jishughulisheni kuzitafuta articles hizo humu JF mtanielewa naongelea nini.

Sasa ombi langu kwa comrade Ulimwengu ni kuja kivingine kama ataweza au kununuliwa!

Nataka azithibitishe articles zake kwa kuhakikisha ccm inadondoka kwa kuwa maoni yake yake yalikuwa sahihi.

pole natoa kwa wazee wote wa vibahasha!!!
...Jenerali hawezi kumpigia chapuo lowassa we...acheni kumiss quote huyu nguli mzalendo....mnajiaibisha sana.....
....Jenerali ni adui wa mafisadi na hawezi kuwafagilia kwa namna yoyote ile ..hata awe mzazi wake...akiwa mwizi hamfagilii...msomeni Jenerali mumuelewe...He is so philosophical in his articles..ukimsoma macho juu kamwe hutoweza kumwelewa Jenerali....Sihitaji wala kusoma hizo quotes/ama articles unazozungumzia maana najua sivyo unavyodhani....
 
Hizi lugha za queen...basi mie nimemuelewa tofauti na mleta mada..ngoja nijichimbie tena.
 
Hizi lugha za queen...basi mie nimemuelewa tofauti na mleta mada..ngoja nijichimbie tena.

Ukitaka kuwapumbaza watanzania basi waeleze katika lugha ya malkia.

intention ya Ulimwengu ilikuwa ni nini hasa?

Ni kweli Ulimwengu na Unguli wake katika siasa na uandishi aliamini kuwa Lowassa ndiye?

Ni kweli Lowassa alikuwa anakubalika?

Kwa nini Ulimwengu ali-miss hii fact ya kwamba EL Hakubaliki bali ni show tu za kwenye TV lakini kwenye field sio hivyo.

Siamini mimi na wengine humu JF tulikuwa ni wajuvi kuliko Ulimwengu.

Hebu tazama Mzee Mwanakijiji alovyotoa maoni yake tulipokuwa tunaelekea uteuzi wa ccm ndio ujiridhishe kuwa Ulimwengu alikuwa na lake jambo.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom