Jenerali Ulimwengu: Hata kwenye upuuzi tuko dhaifu!

Jenerali Ulimwengu: Hata kwenye upuuzi tuko dhaifu!

Naona wahamiaji haramu sasa mmepata forum ya kuongelea.Matatizo ya watanzania tuachieni watanzania wenyewe tunaweza kuyaongea na kuyamaliza hatuhitaji msaada wa wahamiaji haramu.

Mkuki unauma sana pale unapokuingia kwenye MOYO na huu Unayemuita Mhamiaji HARAMU amekutungua penyewe.Ni bora huyu MUHAMIAJI HARAMU kuliko wewe MUHAMIAJI HALALI maana huna unachoifanyia TAIFA lako zaidi ya kupeperusha BENDERA za akina MOBUTU wa Tanzania...

Ameongea ukweli unaouma sana..Na ndiyo maana Akina Mobutu wa Tanzania wameamua kwa ridhaa yao kuongeza maderaya 700 kupigana na RAIA wasiokuwa na hata MAWE..............

Shame on you..............Kama ni kaka basi bora kukosa kubaki bila kaka..........na kama ni baba watoto watajuta kwanini walizaliwa na wewe .............kama ni mama hali kadhalika watoto watajuta kwanini uliwazaa...........Na kama ni Mtoto basi wazazi wako lazima wajilaumu mtoto waliyemlea wakidhani ni JASIRI kumbe sivyo ni SIYO RIZIKI watasema nafuu tungemtoa mimba udogoni..........Pole......

Am real sad wakati nakujibu.........real sad..............:shock::A S cry::A S cry::A S cry::A S cry::A S cry:
 
Upuuzi !!!!

Its true kwamba tunafanya upuuzi, its true kwamba mengi yafanyikayo ni upuuzi lakini tusiite hata mazuri ni upuuzi.., he is right in some scenarios lakini tusisahau kwamba what matters is making a living, kwahio si vema kuita skills za mtu ni upuuzi.. Upuuzi wa Mobutu hauwezi kupunguza sifa za Franco, Pepe Kalle wala Papa Wemba
Vilevitu vya burudani ni vitu ambavyo mtu unaweza kupuuzia na isiwe madhara sio tusi ,upuuzi hata wewe unaweza kufanya upuuzi kwa kukaa ndani kujiburudisha badala ya kwenda kufanya kazi ,anacho maanisha Jenrali ni kuwa kuna upuuzi unaokubalka tena uliopangiliwa na isiwe kwa watu wote tuwe wapuuzi!wawepo baadhi yetu tena very "skillful wapuuzi"watupumbaze!
ndio "watupumbaze"hapa haimaanishi kwamba wale "wapuuzi" wanatufanya sisi "wapumbavu" la hasha hapa inamaana ya kuburudika with less care of whatever is happening else where !ni masuali ya fasihi tu ukiyaelewa huna ugomvi na jenerali!
 
Mkuki unauma sana pale unapokuingia kwenye MOYO na huu Unayemuita Mhamiaji HARAMU amekutungua penyewe.Ni bora huyu MUHAMIAJI HARAMU kuliko wewe MUHAMIAJI HALALI maana huna unachoifanyia TAIFA lako zaidi ya kupeperusha BENDERA za akina MOBUTU wa Tanzania...

Ameongea ukweli unaouma sana..Na ndiyo maana Akina Mobutu wa Tanzania wameamua kwa ridhaa yao kuongeza maderaya 700 kupigana na RAIA wasiokuwa na hata MAWE..............

Shame on you..............Kama ni kaka basi bora kukosa kubaki bila kaka..........na kama ni baba watoto watajuta kwanini walizaliwa na wewe .............kama ni mama hali kadhalika watoto watajuta kwanini uliwazaa...........Na kama ni Mtoto basi wazazi wako lazima wajilaumu mtoto waliyemlea wakidhani ni JASIRI kumbe sivyo ni SIYO RIZIKI watasema nafuu tungemtoa mimba udogoni..........Pole......

Am real sad wakati nakujibu.........real sad..............:shock::A S cry::A S cry::A S cry::A S cry::A S cry:

huyo East african eagle achana nae ni mpuuzi wa kiwango cha juu mno...hajafikia hata upuuzi mzuri wa wazaire
 
...kuna sehemu kasema kama hayo yangeendana na mapinduzi ya viwanda na kilimo, asingeita upuuzi!

huyo eddie na sun wu hawajaelewa....siwezi kuwaita wapuuzi, japon unawanyemelea
 
Ktk wapuuzi anao ongelea Jenerali nafikiri ww ni mmoja wao. Kuna theory moja nafikiri ni ya somebody Jeriko Nyerere kwamba kama ukiona matendo na maneno yako watu hawayaelewi mshukuru Jah, lkn siku ukiona wameanza kukuelewa jitafakari ulipo anguka maana umeanza kufikiri kama wao.Kitu kama hicho nafikiri siko mbali sana. Ndo maana nasema watu kama ww ni janga la c tu la taifa bali dunia nzima. Jitafakari kama elimu yako kama c darasani basi hata mitaani kama inakutosha ndugu yangu. Je, unaposema fisadi mwenzako Mkapa kwamba alimtesa Jenerali aliambulia nn kama c aibu na na bado huyu mwandishi nguli bado yupo na ataendelea kuwepo kwa sababu hahitaji fadhira za rais yeyote bali uzalendo wake ktk nchi finito! Basi ww usiye mnyarwanda tuambie umeifanyia nn nchi hii kuliko J.Ulimwengu? Mavi yako ww.

umemaliza vizuri sana

tusi langu mimi ningepigwa ban
 
huyo East african eagle achana nae ni mpuuzi wa kiwango cha juu mno...hajafikia hata upuuzi mzuri wa wazaire

Inabidi tumpe ndogo ndogo ili asije kusema hatukumweleza..hii ATM ya CCM imeharibu akili za vijana wengi sana.
 
Kwa mtazamo wa huyu Mnyarwanda muziki ni "upuuzi" na kuthubutu kukashifu tasnia nzima ya burudani kuwa nayo tunashindwa!
Kweli mgema akisifiwa tembo hulitia maji, mwandishi huyu mkongwe kakosa maneno sawia na kuamua kumwaga kashfa na bado anaambiwa yupo "deep!"
Kweli serikali hii ipo "auto pilot" ujinga ujinga kama huu mbona hakumfanyia Mkapa?
Ulimwengu akamfanyie Ndugu yake (Paulo Kagame) km atamuacha
Kenyatta tu juzi kati kambana kijana wa watu aliyeamua kutorokea Uganda baada ya kuchafua hali ya hewa na Facebook
 
kabla sijaingizwa upuuzini serikari inipe chengi yangu niamie china ningoje wapuuzi kwenye meli kubwa tukapakue mitungi ya gesi na magogo na kupakia midori na nguo za nyron
 
Naona wahamiaji haramu sasa mmepata forum ya kuongelea.Matatizo ya watanzania tuachieni watanzania wenyewe tunaweza kuyaongea na kuyamaliza hatuhitaji msaada wa wahamiaji haramu.
Hapo ndugu unathibitisha ukweli wa alicho kiandika Jenerali Ulimwengu.Itoshe kukwambia hivyo
 
Back
Top Bottom