Wabongo kwa majungu tu,nambari wani.
Ingekuwa kuna rekodi ya umbea duniani,Tanzania ingekuwa ya kwanza.
Ndio maana mwaka mmoja hivi rekodi ya upelelezi dunia nzima Tanzania ilikuwa ya pili,we' unadhani kwanini?,upelelezi ni umbea.
Hapo red: Huu wimbo.hii nyimbo ni wimbo unaoishi
utaishi umri mrefu kuliko atakaouishi yeye
sauti ya kipekee
analalamika
anapanda na kushuka
nawachukia wote wanaoingiza dawa za kulevya
mi nadhani sio uteja peke yake nina shaka na kale kaugonjwa ka mujini..
Uteja noma kweli huyo msafiri diof aibu naonaga mimi anavyoombaomba
Huyu msafiri si kuna majuzi kati hapa walisema ameachana na hayo makitu....
haya mavitu hayaachiki ukikutana nae mchafuu nimemtoa nduki mara kibao huyo
Le general Banza stone mwalimu wa walimu ngoma yake inayonikosha Ukitaka kuanza maisha anza sasa usingoje ksho ksho usicheze na maisha usiyumbe na maisha.
kuna ngoma yake nyingine inaitwa MTOTO YATIMA mwenye nayo aiweke hapa