Jenerali Banza Stone

mi nadhani sio uteja peke yake nina shaka na kale kaugonjwa ka mujini..
 
Uteja noma kweli huyo msafiri diof aibu naonaga mimi anavyoombaomba

Kuna siku alikuja kuniomba elfu 2 pale Mango Garden Malaika Band walikuwa wanatoa buradani huku akijitambulisha kuwa "unajua mie ndio Msafiri Diof, sasa nipo hapa kuna jamaa yangu namsubiri lakini kwasasa hapa sina kitu naomba buku 2 tu angalau ninunue bia huku nikimsubiria jamaa" nilisikitika sana.
 
Husiombe kusaidiwa na mbogo, hasa kama ulikua star au ni star. Utasemwa dunia nzima ijue.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…