Jenerali anauliza: Kwanini walewale?

Jenerali anauliza: Kwanini walewale?

babalao 2

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2012
Posts
5,425
Reaction score
3,300
Maneno haya ya JENERALI ULIMWENGU YANA MAANA KUBWA KWA NCHI YETU.

"NI UPUMBAVU MKUBWA KWA NCHI YENYE RASILIMALI NYINGI KUZIACHIA KUTOWEKA. SERIKALI HAIKO MAKINI KUHUSU SUALA HILI. WALEWALE WALIOKUWA MABINGWA WA KUTAIFISHA IWEJE WAWE NDIYO WAWE MABINGWA WA UBINAFSISHAJI NA USHAURI? WAJE WENGINE NA SURA YA UBINAFSISHAJI KULIKO SURA HIZIHIZI AMBAZO ZILITAIFISHA MALI ZA SERIKALI. WANANCHI WATATUSHANGAA SANA"

Kwa jinsi Rasilimali zinavyozidi kuibuliwa nchini mwetu na mwananchi kuzidi kudidimia kiuchumi,hupelekea watu kuamini kuwa Rasilimali ni laana kwa nchi za Africa maana huleta machafuko makubwa kwa nchi isiyojipanga kuhimili vishawishi na mikataba mibovu kutoka mataifa ya kinyonyaji.

Viongozi kama wamelala au wanafikiri watz ni wale wa zamani wanajidanganya mabadiliko yanakuja hayataacha watu wa vijijini wala wa mjini tutende haki.
 
Maneno mazito sana hayo na yana ukweli pia
 
Wasira kinana nape mwigulu hawana majibu ya maana?
Nchemba atakujibu kuwa yeye ni 1st class economics degree holder. Sijui ina tija gani kama uchumi wa nchi haumnufaishi mwananchi.
 
wajumbe wa CCC wanapanga kutembelea mikoa. Nafirikiri badhi yao watarudi na ngeo.
 
Hamtapata waziri mzuri kama Nchimbi....

Kinana msomali
 
aiseeeeeeee mkuu ili swali nataka zomba na ndugu yangu wa dhati ritz watupe majibu ya kina
 
Maneno haya ya JENERALI ULIMWENGU YANA MAANA KUBWA KWA NCHI YETU.

"NI UPUMBAVU MKUBWA KWA NCHI YENYE RASILIMALI NYINGI KUZIACHIA KUTOWEKA. SERIKALI HAIKO MAKINI KUHUSU SUALA HILI. WALEWALE WALIOKUWA MABINGWA WA KUTAIFISHA IWEJE WAWE NDIYO WAWE MABINGWA WA UBINAFSISHAJI NA USHAURI? WAJE WENGINE NA SURA YA UBINAFSISHAJI KULIKO SURA HIZIHIZI AMBAZO ZILITAIFISHA MALI ZA SERIKALI. WANANCHI WATATUSHANGAA SANA"

Kwa jinsi Rasilimali zinavyozidi kuibuliwa nchini mwetu na mwananchi kuzidi kudidimia kiuchumi,hupelekea watu kuamini kuwa Rasilimali ni laana kwa nchi za Africa maana huleta machafuko makubwa kwa nchi isiyojipanga kuhimili vishawishi na mikataba mibovu kutoka mataifa ya kinyonyaji.

Viongozi kama wamelala au wanafikiri watz ni wale wa zamani wanajidanganya mabadiliko yanakuja hayataacha watu wa vijijini wala wa mjini tutende haki.

Rushwa(ccm) hupofusha macho na kupotosha haki, mwovu akitawala wananchi hufa na kuumia lakini mwenye haki akitawala nchi hupata raha na haki
 
wajumbe wa CCC wanapanga kutembelea mikoa. Nafirikiri badhi yao watarudi na ngeo.
Ila tumewasiliana na ma 'ocds' na ma'rpcs', wakasema wanasubiri barua rasmi za kuwakataza kuwasaidia ccm kujibu hoja za upinzani.
Walituthibitishia kwamba wanajiandaa kulinda ujio wa kina'na na man'gula mikoani, na wanasema watavaa silaha hadi kwenye meno.
Wao wanasema maneno ya jk ni yake wao wanaelekezwa na usalama wa taifa na wa raia kuendelea kuua.
 
Back
Top Bottom