Wonderful
JF-Expert Member
- Apr 8, 2015
- 7,347
- 5,986

Obrey Chirwa akiwa kwenye gari la Katibu wa Yanga, Baraka Deusdedit baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), Dar es Salaam wakielekea makao makuu ya klabu, ambako anatarajiwa kusaini Mkataba wa miaka miwili usiku huu!!
==================================
Updates:
Obrey Chirwa amalizana na Yanga, jina lake latumwa CAF, now yupo kwenye ndege kuifuata timu Algeria.