Jela sio pazuri

Jela sio pazuri

askari wa magereza ni balaa,kuna siku nilikuwa mahakamani mara wakawaleta watuhumiwa kama 10 hivi ,moja alikuwa anajaribu kutoroka walipokuwa wanashuka akamdaka ,akamleta ndani ,pale pale mbele za watu wanaosubiri kesi zao alimzaba makofi ya shingo.
Askari jela wamevurugwa ukichangia na stress za maisha, utakula rungu hadi uchakae, ukitaka ishi vizuri jela kuwa muoga yaani uwe na nidhamu, lakini ukijifanya primitives, kule ndo kuna watu primitives zaidi yako. Kama umeshindika mtaani jela huwezi shindikana.
Ukijifanya unajua ngumi utakutana na wababe wa ngumi. Raha ya jela uwe na pesa na uwe na nidhamu kwa askari na wafungwa wenzio utaishi vyema.
 
Inamaana huku mtaani wanawake wengi wanaotesa roho zetu ni mitumba kwisha kazi Ila vipodozi na perfume ndio vinafanya tunawakosea wake zetu adabu.
hhaaaa usidharau mitumbaaaaa yaaniii walio wengiiii mitumba imewatoaa sanaaaaa kuliko wapatao special
 
Askari jela wamevurugwa ukichangia na stress za maisha, utakula rungu hadi uchakae, ukitaka ishi vizuri jela kuwa muoga yaani uwe na nidhamu, lakini ukijifanya primitives, kule ndo kuna watu primitives zaidi yako. Kama umeshindika mtaani jela huwezi shindikana.
Ukijifanya unajua ngumi utakutana na wababe wa ngumi. Raha ya jela uwe na pesa na uwe na nidhamu kwa askari na wafungwa wenzio utaishi vyema.
Pesa kwanza,mengine baadae
 
Ukiweza ishi jela zetu huwezi shindwa ishi kuzimu
 
Mungu wa chini ya jua kama anavyojiita yeye mwenyewe yupo kwenye 18 za serikali ya wana wa Adam.
 
hhaaaa usidharau mitumbaaaaa yaaniii walio wengiiii mitumba imewatoaa sanaaaaa kuliko wapatao special
Mitumba Ina utamu wake Kama ni mitumba OG.
Kuna mitumba kwa macho huwezi kugundua kua ni mitumba kisa make-up. Ukiingia chobingo ndio unagundua kumbe si Mali kitu. Wakati huo keshakula chips, kuku choma, saint Anne(akiwa kwao anakunywa Serengeti lite), voucher, Ubber(lkn kapanda Bajaj)
 
shenzi kabsaaaa ..... unasafisha goboreee unasepa mbiooo ukijiambia sirudi tenaa.... baada ya siku kadhaa a .."baby i like your litle panya/mouse" na ndipo safari inakoanzia ya matumizi yasiyo na kikomooo endapo sio tegemezii kwakoo eeee
 
I like your sense of humour.
 
Hawa mbona ni watu tofauti. Ndugu mleta mada, umejiridhisha kuwa ndiye Zumaridi wa kwenye picha hapo juu?
Nyingine hii
JamiiForums95059395.jpg

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
 
si mnatukimbia sisi natural creatures ngoja mnyooshwe
Sisi wengine bado tupo nanyi natural creatures! Hivi vi artificial creatures huwa vinanitoa stimu hasa, nikianza na kope bandia, kucha bandia, puti nk. Kiumbe wa hivi huwa siwezi kumtazama mara mbili...... wananichefua balaa!
 
Back
Top Bottom