Askari wa magereza ni balaa, kuna siku nilikuwa mahakamani mara wakawaleta watuhumiwa kama 10 hivi, moja alikuwa anajaribu kutoroka walipokuwa wanashuka akamdaka, akamleta ndani, pale pale mbele za watu wanaosubiri kesi zao alimzaba makofi ya shingo.Aiseee..
Akili zitamrudi..
Hakuna askari hatari kama askari magereza, hata ukiwa komando, hata ukiwa Rais ukipelekwa kule ukiitwa jina lako unainama kidogo kisha unajibu 'Naam bwana mkubwa..
Umenichekesha sanaIla wanaume tunalishwa vibudu hasa.
Mkorogo na make ups shikamoo....kweli wanaume tunadanganywa. Kuanzia leo sitaki tena kusalimia mademu wa mkorogo na haswa wa bongo movie.Yule Mfalme Zumaradi kipindi kile unaweza kusema ni rika ya kina dada umri fulani
View attachment 2219360
View attachment 2219361
View attachment 2219362
Sura feki na sura halisi.. Wala jela haihusiki hapo. ..Yule Mfalme Zumaradi kipindi kile unaweza kusema ni rika ya kina dada umri fulani
View attachment 2219360
View attachment 2219361
View attachment 2219362

Na kucha za shetaniKuanzia leo.
Mwanamke Kama ana wigi au Katia nywele rangi, au kope za wachawi hata Salam yangu hapati.
Ni kwa vile hajapalilia shambaYule Mfalme Zumaradi kipindi kile unaweza kusema ni rika ya kina dada umri fulani
View attachment 2219360
View attachment 2219361
View attachment 2219362
Kwani ujui kutofautisha puti na kitu ogIla wanaume tunalishwa vibudu hasa.
Ishu kuu ni bifu na askari,hao waliosafirishwa wapo wapiKusafirisha binadamu na kuzuia makamanda kufanya kazi yao..
Kweli ni wanawake wachache sana wanaingia mbinguni. Wanawake dhambi ya uongo inawalemea mno. Unaweza dhani umepata binti mbichi kumbe libibi.Kweli siyo pazuri ni kuomba tu Mungu mwendo tuumalize salama