Jeffery Samson Mkuki: Msomi wa Chuo Kikuu anayehangaika kijijini bila ajira

Kwani unasoma ili uajiriwe??
Dunia kitendawili Kuna vijana wadogo la saba mafundi wazuri wanatengeneza simu zilizoharibika.Wanapata pesa huyo engineer ana digriii ya mambo ya simu hawezi fungua hata kibanda Cha kutengeneza simu mbovu.
 
Yeye alipata ajira, akaacha kisa wadogo zake

Mbona haiingii akilini?

Kwanini asiwahamishie mjini aliko na ajira?

Kwanini aliacha ualimu pia?


Watu wa Chadema kuna mambo wanaandika kwa malengo ya kisiasa
Inaonekana jamaa hawezi kuyatawala mazingira kabisa. Yani ukiangali course aliyosoma na maisha anayoishi haviendani kabsa! Kwa sababu kulingana na kozi yake ni rahisi kujiajiri hata kama hana mtaji, sema ndiyo hivyo kama akili za maisha hazimo utaishia kunywa matapu tapu.
 
Huyu ana matatizo...anasema alipata kazi mjini akaamua kurudi kuangalia wadogo zake pia alikuwa mwalimu na kuna shule hapo anaweza kufundisha yeye anasema bado anajitafakari.....kwa hiyo kaona kubeba magunia ndo kamaliza ..?Huyu haitaji ajira ni basi tu hayuko sawa
 
Dunia kitendawili Kuna vijana wadogo la saba mafundi wazuri wanatengeneza simu zilizoharibika.Wanapata pesa huyo engineer ana digriii ya mambo ya simu hawezi fungua hata kibanda Cha kutengeneza simu mbovu.
Huyu jamaa atakua kichaa.....hata kufungua banda kashindwa....???
 
Kiongozi wa oparation ya chama gani?
 
Aisee...natamani serikali ingetoa ujuzi wa lazima kwa kila kijana wa Taifa hili Kabla ya kuhitimu masomo ya chuo kikuu/kwa ngazi yoyote ile ya elimu,.ili kumfanyia kijana kuwa na option...hii ya kutegemea nadharia tuu pekeake ndio matokeo yake haya..

Dah😓
 
Elimu haijamsaidia chochote bora asingesoma huyu hata ukimuajiri hana tija kama hawezi kujisimamia binafsi hawezi kusimamia kazi yoyote kwa ufanisi huenda ana nyota ya Punda cc . Mshana Jr.
 
Anatia huruma lakin hao wapo wengi sana ila unaposema yatima hapo ndio cjakuelewa umri wa uyatima ushapita ukibaleghe tu ww sio yatima tena yy atumie elimu yake kujiajir tu mengine hua ni Bahat kwa upande wangu mm nachukulia elemu ni kuondoa ujinga sio kuajiriwa
 
Mwanafunzi wa UDSM apitie VETA napo

Ova
 
sina shaka ana elimu ya darasani . kasoma. lakini kuna sehemu ama kipengele bado. kwa msomi ni kutumia elimu uliyoipata ili uishi. ana utalaam kwa mawsiliano tayari mtaji! hapo naweza sema kuna mkono wa shetani/ pepo kwanza aanzie kanisani aombe sana mungu amfungue ufahamu!! haupo hapo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…