Jeff Bezos kuachia nafasi yake kama CEO wa Amazon

Jeff Bezos kuachia nafasi yake kama CEO wa Amazon

beth

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
3,881
Reaction score
6,377
Mwanzilishi wa Amazon, Jeff Bezos ataachia wadhifa wa Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni hiyo na kuwa Mwenyekiti, hatua ambayo amesema itampa muda na nguvu za kuelekeza jitihada zaidi kwenye biashara zake nyingine.

Kwa mujibu wa Kampuni hiyo, mabadiliko hayo yatafanyika katika kipindi cha pili cha nusu ya mwaka 2021, na Andy Jassy atakaimu nafasi ya Afisa Mtendaji Mkuu (CEO) wa Amazon.

Bezos (57) amesema hatua hiyo haimaanishi anastaafu na kufafanua kuwa Mkurugenzi wa Amazon ni jukumu kubwa linalochukua muda mwingi hivyo ni vigumu kujikita katika masuala mengine.

=====

Amazon founder Jeff Bezos is to step down as chief executive of the e-commerce giant that he started in his garage nearly 30 years ago.

He will become executive chairman, a move he said would give him "time and energy" to focus on his other ventures.

Mr Bezos, the world's richest man, will be replaced by Andy Jassy, who currently leads Amazon's cloud computing business.

The change will take place in the second half of 2021, the company said.

"Being the CEO of Amazon is a deep responsibility, and it's consuming. When you have a responsibility like that, it's hard to put attention on anything else," Mr Bezos said in an letter to Amazon staff on Tuesday.

"As Exec Chair I will stay engaged in important Amazon initiatives but also have the time and energy I need to focus on the Day 1 Fund, the Bezos Earth Fund, Blue Origin, The Washington Post, and my other passions."

"I've never had more energy, and this isn't about retiring. I'm super passionate about the impact I think these organizations can have," he added.

Higher public profile

Mr Bezos, 57, has led Amazon since its start as an online bookshop in 1994. The firm now employs 1.3 million people globally andhas its hand in everything from package delivery and streaming video to cloud services and advertising. He's amassed a fortune of $196.2bn, according to Forbes' list of billionaires.

Itsaw its already explosive growth skyrocket last year, as the pandemic prompted a surge in online shopping.

The firm reported $386bn (£283bn) in sales in 2020, up 38% from 2019. Profits almost doubled, rising to $21.3bn.

In announcing the plans, Mr Bezos said he would continue to focus on new products and early initiatives.

"When you look at our financial results, what you're actually seeing are the long-run cumulative results of invention," he said. "Right now I see Amazon at its most inventive ever, making it an optimal time for this transition."

The shake-up comes as Mr Bezos has taken on an increasingly public profile.

He has endured a public divorce, become a target for labour and inequality activists, and poured his wealth into other businesses, such as space exploration firm Blue Origin and the Washington Post newspaper.

'Not leaving'

Amazon also faces increasing scrutiny from regulators, who have questioned its monopoly power. And its dominance in cloud computing is being increasingly challenged by other tech firms, such as Microsoft and Alphabet, parent company of Google and YouTube.

Mr Bezos's decision to hand over the day-to-day operation of the company came as a surprise. But investors appeared unfazed, with little change in the firm's share price in after-hours trade

In a call with analysts to discuss the firm's financial results, Amazon chief financial officer Brian Olsavsky said: "Jeff is not leaving, he is getting a new job... The board is super active and important in Amazon's success story."

Mr Jassy, a Harvard graduate, has been with Amazon since 1997 and helped develop Amazon Web Services, which has long been seen as the profit engine of the company.

"Andy is well known inside the company and has been at Amazon almost as long as I have. He will be an outstanding leader, and he has my full confidence," Mr Bezos said.

Sophie Lund-Yates, analyst at Hargreaves Lansdown, said it was "no accident" that Amazon is tapping the head of the cloud business to lead the company.
 
Tusomeni ishara: Kabla ya korona kulipuka, Bill Gates alishuka kutoka CEO wa Microsoft Co. Sasa hivi pia anaondoka Jeff Bezos kabla ya kutokea mlipuko mwingine, according to Bill Gates mwenyewe, kwa mara nyingine tena, amesema ni deadlier kuliko ule wa korona. Akili za kuambiwa...
 
Bilgates aliachia hiyo nafasi mbona mapema sana na CEO mpya kwa kiasi kikubwa kaisaidia Microsoft kuipa uelekeo mwingine ambao huenda bila kuelekeza kwingine ingeperform vibaya japo pia kupitia yeye kuna failures zao nyingi kama za LUMIA na OS yao ya windows phone. Ila project zao nyingi na products zao za Cloud zinafanya vizuri.

Bezos ana kampuni nyingine za kusimamia na kupamabana na hasimu wake Elon Musk, ana kampuni ya Blue Origin, ambaye anataka shindana na Space X.

Uzuri hawa watu wanajua when to quit, na ni muda gani kampuni inahitaji uongozi na mwelekeo mpya.
 
Tusomeni ishara: Kabla ya korona kulipuka, Bill Gates alishuka kutoka CEO wa Microsoft Co. Sasa hivi pia anaondoka Jeff Bezos kabla ya kutokea mlipuko mwingine, according to Bill Gates mwenyewe, kwa mara nyingine tena, amesema ni deadlier kuliko ule wa korona. Akili za kuambiwa...
Mkuu chanzo cha hii habari ni kipi?
 
Tusomeni ishara: Kabla ya korona kulipuka, Bill Gates alishuka kutoka CEO wa Microsoft Co. Sasa hivi pia anaondoka Jeff Bezos kabla ya kutokea mlipuko mwingine, according to Bill Gates mwenyewe, kwa mara nyingine tena, amesema ni deadlier kuliko ule wa korona. Akili za kuambiwa...
... na Jack Ma? Yule billionaire wa Alibaba?
 
Hivi ukiwa tajiri kama hivyo
Unakuwa unafanya kazi gani ofisini?
Kuhesabu hela, kutia saini, kulipa mishahara au kusimamia kazi?
Aiseee! Kazi huwa ni nzito sana ukiwa top --- organization, planning, future innovation na overall oversight. Makampuni huwa yanasuffer katika hujuma na hijacking --- mostly kutoka ndani kwa ndani. Sasa CEO ukisinzia tu, imekula kwako. Wengine employers wako mle wanasaka namna ya kuhamishia kwao teknolojia yako ama kuhamisha research findings zenu kwa kuwauzia wataalam wengine huko, etc etc
 
2021 February
Mkuu nimekuelewa ila lazima ufaham kunatofauti kubwa kati ya bil na jef. Ukiangalia jef anataka kufika mbali zaid hasa sekta zake za k8biashara ambazo hazifanyi vizuri. Ila utabiri wa janga kubwa kutokea sidhani.
 
Tusomeni ishara: Kabla ya korona kulipuka, Bill Gates alishuka kutoka CEO wa Microsoft Co. Sasa hivi pia anaondoka Jeff Bezos kabla ya kutokea mlipuko mwingine, according to Bill Gates mwenyewe, kwa mara nyingine tena, amesema ni deadlier kuliko ule wa korona. Akili za kuambiwa...
Unakaribia kuanza kula Jalalani
 
Unakaribia kuanza kula Jalalani

Nimeangalia kiujumbe chako hiki, nikacheck Avatar, nikabaki kujisemea hiiiiiiiiii!!! Pole kwa kusema ukweli juu yako mwenyewe. Kesho utakuwa unakula kwenye jalala lipi!??? Kuna msaada huku.
 
Tusomeni ishara: Kabla ya korona kulipuka, Bill Gates alishuka kutoka CEO wa Microsoft Co. Sasa hivi pia anaondoka Jeff Bezos kabla ya kutokea mlipuko mwingine, according to Bill Gates mwenyewe, kwa mara nyingine tena, amesema ni deadlier kuliko ule wa korona. Akili za kuambiwa...
wazee wa conspiracy theory kwenye ubora wenu.
kama huna evidence za ku support madai yako.

inabakis story za vibanda umiza
 
Hivi ukiwa tajiri kama hivyo
Unakuwa unafanya kazi gani ofisini?
Kuhesabu hela, kutia saini, kulipa mishahara au kusimamia kazi?
lazima utengeneze msingi wa kampuni. ukiwa kiongozi mtendaji unakuwa kwenye nafasi nzuri ya kufanya hayo.
kampuni ikisha simama ndio unamuachia mwingine lakin sio kwamba inabaki sio yako. ww unanaki mmiliki ila mtendaji ni mwingine
 
Huna hata aibu kuitwa Detective J !??? Afadhali hata ungejiita detected

Unataka evidences zipi zaidi ya hizo VERY CLEAR zilizowasilishwa!???
evidence ziko wazi how? part of being detective ni kukua kama muhusika ana vidhibitisho vya madai yake. is nimekuuliza where is the evidence?

usineletee story za kuwa viko wazi... viko wazi where?
Any links? paper works? concrete evidence yoyote uliyonayo
 
lazima utengeneze msingi wa kampuni. ukiwa kiongozi mtendaji unakuwa kwenye nafasi nzuri ya kufanya hayo.
kampuni ikisha simama ndio unamuachia mwingine lakin sio kwamba inabaki sio yako. ww unanaki mmiliki ila mtendaji ni mwingine
👍
 
Back
Top Bottom