Jee huyu anafaa kuoa?

Jee huyu anafaa kuoa?

muudy

Senior Member
Joined
May 25, 2013
Posts
156
Reaction score
22
Habari zenu wana jf? hususan wale wana wa MMU

Kwa kweli swala la kumpata mke mwema si jambo rahisi ila inahitaji umakini na utulivu na kumchagua mtu ambaye atakuwa mke baadae ok sasa niende kwenye topic.

Nilianza mahusiano ya kimapenzi na mdada mmoja hv na nilitarajia kumwoa baadae ila nakumbuka kuna siku wakati tunaongea alinitak mm ni salimiane na Mama yake na dada zake waliokuwep mda huo kweli nlisalimian nao na tumeongea vizuri tu ila kitu ambacho kimenipa mashak kuna day nlimuuliza "HIVI MM NA WW TUPO PAMOJA NA MZEE WAKO ANAJUA YAAN WW UNAWEZA KUONGEA NA MM KIMAHABA MBELE YA MZEE WAKO JEE HUONI KUA NI TATIZO HILO KWA MAISHA YETU YA KITANZANIA??? Alivyonijibu ucjali baby mama mzungu mbona ha mind naweza kuongea na ww mda wwte mbele yake na wala haniambii kitu na ukizingatia huyo bint bado ni mdogo kias ya 20yrs bas nikajua hapa kwa suali la malezi zero!!(hapana)
KARIBUNI
 
Wewe una vigezo gani vya uchunguzi(probation) juu huyo unaetaka kumuoa hasa kitabia? uaminifu,upole,upendo kwako,n.k
 
Nipe namba zake nikusaidie kumchunguza vizuri pengine ana tatizo la kisaikologia kisayansi tunaita Psychology mindfree brain conglatulosisy hydrolysisy....:becky:
 
Kiukweli daliliza mvua ni mawingu. Suala la kuongea heruf za kimahaba mbeleya wazaz nitatizo
 
Sasa dogo 20yrs si bado wako chuo? Au ni wale mastaa wa bongo kila siku wako 18.???????
 
Chunguza zaid, huwez fanya judgement kwa kitu kama hicho. Dig deep mkuu
 
Ulipo lala wenzio wamesha amka mapema pengne wazaz wanamchukulia mwanao kam biashara kw wanaume. Mana hakun wazaz wanaofurah ama kuruhc maongez y ivo.
 
Back
Top Bottom