SONGOKA
JF-Expert Member
- Mar 8, 2012
- 1,841
- 1,843
Nimekuwa natafakari kwa nini hawa wazee wawili wamekubali kutumika kiasi hiki, wakati ni wasomi wenye heshima zao,
Sasa nimepata jawabu, baada ya lisara ya mkuu wa mkoa wa morogoro aliyetumbuliwa, kumbe si swala la usomi na heshima,. Hoja ni kwa sababu hawa wazee "wanatoka familia maskini na hawana pa kujishkiza".
Kwa hiyo nawaomba muwaelewe kina jecha na wasomi wengine wote, hasa ma Dr na Ma profesa waliokimbia taaruma zao na kutelekeza tafiti, na madarasa ya chuo kwa ajili ya nafasi za kisiasa.
WANATOKA FAMILI MASKINI NA HAWANA PA KUJISHIZA.