Jecha itangaze CUF imeshinda

Jecha itangaze CUF imeshinda

Mwiba

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2007
Posts
7,607
Reaction score
1,760
Suali ni moja tu, Je ulipokea fomu ya malalamiko kutoka CCM?

Taarifa zilizopo ni kuwa hakuna malalamiko na wabunge na wawakilishi walipewa hati za kuthibisha kama wao ni washindi halali.

Kama ushindi wa CCM ni halali basi wa CUF nao hauna doa Magufuli ameshinda Seif ameshinda Uchaguzi uliotumika kwa ushindi ni mmoja siku moja
 
Unaota.uchaguzi umefutwa hakuna cha kutangaza mshindi.subirini marudio
 
Suali ni moja tu, Je ulipokea fomu ya malalamiko kutoka CCM?

Taarifa zilizopo ni kuwa hakuna malalamiko na wabunge na wawakilishi walipewa hati za kuthibisha kama wao ni washindi halali.

Kama ushindi wa CCM ni halali basi wa CUF nao hauna doa Magufuli ameshinda Seif ameshinda Uchaguzi uliotumika kwa ushindi ni mmoja siku moja
Uchaguzi ni kama working with computers, kuna vitu unaweza ku delete na baadae ukafanya undo na kuvirejesha. Lakini ukidelete from the recycle bin, kwanza unaulizwa to confirm ukicommand yes, hapo umefuta jumla!, you can't undo tena unless uipeleke computer yako kwa watu wa data recovery, ifumuliwe, hard disk ifanyiwe fragmentation, deleted files ziwe recovered na hard disk yako iwe dead for good!.

Hivyo uchaguzi wa Zanzibar once declared umefutwa, aliye declare hawezi tena yeye yeye kutagaza unaendelea kwa sababu tangu baada ya tangazo lile, kila kitu kilisimama!, you can't undo!.

Kinachoweza kufanyika ni

  1. Wanasheria makini na mahiri, kufungua shauri Mahakama Kuu ya Zanzibar kutoa tafsiri ya kisheria ya uwezo na mamlaka ya Mwenykiti wa ZEC kufuta uchaguzi ambao haujalalamikiwa na yeyote!. Ilichofanya ZEC kisheria kinaitwa acting on 'sue motto', yaani kuchukua maamuzi on its own accord bila malalamiko yoyote!. Ili baadhi ya maamuzi ya kisheria yafanyike, kuna some preconditions srt lazima zitokee, ikiwepo malalamiko rasmi ya maandishi!. Hakuna mamalamiko yoyote ya maandishi kutoka upande wowote uliipa ZEC mamlaka ya kufuta uchaguzi!.
  2. Pia wanasheria hao, waombe tafsiri ya ukomo wa SMZ na uhallali wa time extention ya kuendelea kuwepo madarakani kwa SMZ kama ni halali au haramu.
  3. Kisha wanasheria hao, wanafungua shauri la kuomba kitu kinachoitwa 'wrtis' or 'executive orders za "certiorary, mandamus, au prohibition" ambapo mahakama kuu inaiamuru serikali kufanya jambo fulani kwa lazima!. Hivyo Shein, anaamriwa kumfuta kazi Jecha, na kuiamuru ZEC kuyatangaza matokeo halali ya uchaguzi wa Zanzibar.
Hatua zote hizi ni hatua za kisheria, haki haipatikani kwa hotuba za majukwaani, vikao vya mazungumzo, wala kutupigia mikelele kutwa kucha kwenye media!, haki inapatikana kwa to do the right thing, or take the right action, at the right time and doing it right!.

Pasco

Jecha yule yule atakuja kwenye vyombo vya habari na atafuta kauli yake. Kama sheria, mbona hakutaja kifungu cha sheria yeye kinachompa madaraka ya kufuta uchaguzi. Kama alivyoamuwa kufuta basi atamke kuendeleza kutaja matokeo. Hiyo sheria munaijuwa sasa?

Jambo la pili, hao wawakilishi wa CCM 90% hawataki uchaguzi urejewe. Kwa sababu hawajui kama itaamuliwa kurejewa, utarejewa kwa mazingira gani, nani atasimamia, wao ndio wanajuwa nini wamefanya wakashinda. Huyo Jecha asitegemee kuwa Mwenyekiti tena wa tume na kusimamia marejeo, kama yatakuwepo.

Hizo steps unazosema ni kweli, lakini kama linapotokezea tatizo la kiufundi, lakini hili sio tatizo bali ni hujuma ya makusudi. Jecha akamatwe na kufunguliwa mashitaka ya inciting crime against humanity. Yangeweza kuwa makubwa...
 
Pasco kwa kiasi flani ivi maneno yako yanamelekeo ila cjui kama yanawezekana kwa znz ile hahahaa
 
Jecha yule yule atakuja kwenye vyombo vya habari na atafuta kauli yake. Kama sheria, mbona hakutaja kifungu cha sheria yeye kinachompa madaraka ya kufuta uchaguzi. Hiyo sheria munaijuwa sasa?
Mkuu,
Wazanzibari ni watu wa ajabu sana!, kama mtu anakuja mbele ya vyombo vya habari na kutaja kuufuta uchaguzi, bila kutumia kifungu chochote cha sheria, halafu nyinyi mnamuangalia tuu, bila kuchukua hatua zozote!, mnashangaza sana!. Kazi ni kupiga tuu mikelele tuu humu!. Hapa Zanzibar ilipofika, kelele zimeishatosha na hazisaidii kitu!, sasa hizi kelele zinafanana na zile za chura kisimani, au kelele za mlango!, kinachotakiwa sasa ni kuchukua hatua!, matendo hukidhi haja maridhawa kuliko maneno!.

Endeleeni kupiga kelele, uchaguzi utarudiwa tena sasa sio bao la mkono tena, bali sasa ni bao la kisigino litafungwa kwa mpira wa tikitaka!.

Pasco
 
Uchaguzi ni kama working with computers, kuna vitu unaweza ku delete na baadae ukafanya undo na kuvirejesha. Lakini ukidelete from the recycle bin, kwanza unaulizwa to confirm ukicommand yes, hapo umefuta jumla!, you can't undo tena unless uipeleke computer yako kwa watu wa data recovery, ifumuliwe, hard disk ifanyiwe fragmentation, deleted files ziwe recovered na hard disk yako iwe dead for good!.

Hivyo uchaguzi wa Zanzibar once declared umefutwa, aliye declare hawezi tena yeye yeye kutagaza unaendelea kwa sababu tangu baada ya tangazo lile, kila kitu kilisimama!, you can't undo!.

Kinachoweza kufanyika ni

  1. Wanasheria makini na mahiri, kufungua shauri Mahakama Kuu ya Zanzibar kutoa tafsiri ya kisheria ya uwezo na mamlaka ya Mwenykiti wa ZEC kufuta uchaguzi ambao haujalalamikiwa na yeyote!. Ilichofanya ZEC kisheria kinaitwa acting on 'sue motto', yaani kuchukua maamuzi on its own accord bila malalamiko yoyote!. Ili baadhi ya maamuzi ya kisheria yafanyike, kuna some preconditions srt lazima zitokee, ikiwepo malalamiko rasmi ya maandishi!. Hakuna mamalamiko yoyote ya maandishi kutoka upande wowote uliipa ZEC mamlaka ya kufuta uchaguzi!.
  2. Pia wanasheria hao, waombe tafsiri ya ukomo wa SMZ na uhallali wa time extention ya kuendelea kuwepo madarakani kwa SMZ kama ni halali au haramu.
  3. Kisha wanasheria hao, wanafungua shauri la kuomba kitu kinachoitwa 'wrtis' or 'executive orders za "certiorary, mandamus, au prohibition" ambapo mahakama kuu inaiamuru serikali kufanya jambo fulani kwa lazima!. Hivyo Shein, anaamriwa kumfuta kazi Jecha, na kuiamuru ZEC kuyatangaza matokeo halali ya uchaguzi wa Zanzibar.
Hatua zote hizi ni hatua za kisheria, haki haipatikani kwa hotuba za majukwaani, vikao vya mazungumzo, wala kutupigia mikelele kutwa kucha kwenye media!, haki inapatikana kwa to do the right thing, or take the right action, at the right time and doing it right!.

Pasco

Pasco uliyoyasema ni kweli. Katika hali ya kawaida hayo ndiyo yangetendeka, lakini nafikiri kuna kusita kwa sababu wanajua wakifanya hivyo tu ni 'automatic confirmation' ya kuhalalisha maamuzi binafsi ya Bw Jecha kwa kutumia mahakama. Ni suala la mfumo wetu na uhuru wa mahakama. Lakini pia nafikiri sasa watu wanajuwa vizuri kwa nini waziri mkuu alisema Zanzibar si nchi. Walipiga kelele kweli kweli, sasa nafikiri wanafahamu. Mambo yanaendelea.

Ilinishangaza sana jana AG mstaafu jana aliyesema suala hili ninla kikatiba na kuwa uchaguzi lazima urudiwe kwa mujibu wa katiba. Je hiyo katiba inaruhusu unilateral decision ya kufuta uchaguzi? Hayo hakuyasema wala kuyakemea bali kukazana na matokeo ya maamuzi. Huwezi kutumia Katiba hiyo iliyovunjwa kutatua tatizo kwa katiba hiyo hiyo na mfumo huo huo!
 
Mkuu,
Wazanzibari ni watu wa ajabu sana!, kama mtu anakuja mbele ya vyombo vya habari na kutaja kuufuta uchaguzi, bila kutumia kifungu chochote cha sheria, halafu nyinyi mnamuangalia tuu, bila kuchukua hatua zozote!, mnashangaza sana!. Kazi ni kupiga tuu mikelele tuu humu!. Hapa Zanzibar ilipofika, kelele zimeishatosha na hazisaidii kitu!, sasa hizi kelele zinafanana na zile za chura kisimani, au kelele za mlango!, kinachotakiwa sasa ni kuchukua hatua!, matendo hukidhi haja maridhawa kuliko maneno!.

Endeleeni kupiga kelele, uchaguzi utarudiwa tena sasa sio bao la mkono tena, bali sasa ni bao la kisigino litafungwa kwa mpira wa tikitaka!.

Pasco
Ndugu zetu wanachoma ubani. jibu litapatikana tu.
 
Yaani h?ta mimi nimeanza kuwapuuza waznz ici nyie hiyo nchi tenu niya baazi yawatu kua Wao ndo znz.jecha ni anani .huyo niwakumkamatatu nakumtosa bahali mpaka mshindi amtangaze .
 
ukawa ni matapeli tu.

Wameitikia wito wa kuitwa bunge na rais wasiemtambua

Mbowe juzi kamshauri rais asiemtambua kuhusu pesa za millenium challenge.

Ukawa hawaaminiki
 
Mkuu,
Wazanzibari ni watu wa ajabu sana!, kama mtu anakuja mbele ya vyombo vya habari na kutaja kuufuta uchaguzi, bila kutumia kifungu chochote cha sheria, halafu nyinyi mnamuangalia tuu, bila kuchukua hatua zozote!, mnashangaza sana!. Kazi ni kupiga tuu mikelele tuu humu!. Hapa Zanzibar ilipofika, kelele zimeishatosha na hazisaidii kitu!, sasa hizi kelele zinafanana na zile za chura kisimani, au kelele za mlango!, kinachotakiwa sasa ni kuchukua hatua!, matendo hukidhi haja maridhawa kuliko maneno!.

Endeleeni kupiga kelele, uchaguzi utarudiwa tena sasa sio bao la mkono tena, bali sasa ni bao la kisigino litafungwa kwa mpira wa tikitaka!.

Pasco

Je na tanganyika utarudiwa?turudi kwenye hoja jecha hana mamlaka ya kufuta uchaguzi.
 
Huku hatuna haja ya kurudia uchaguzi, kwetu siku zote mshindi huwa ni CCM, ndio maana imebidi na huko lazima iwe ni CCM kufuatia rais wa Zanzibar kupaswa kuwa ni waziri asiye na wizara maalum, sasa kitendo cha CUF kushinda Zanzibar, kungepelekea kumuingiza nyoka ndani ya nyumba!. Kuliko kuingiza nyoka ndani ya CCM, bora futa matokeo, uchaguzi, ili huyo nyoka apondwe kichwa!.

Yes ni kweli kwa asilimia 100% Jecha hana mamlaka ya kufuta uchaguzi!, ila taasisi pekee yenye mamlaka ya kufafanua mamlaka ya Jecha, sio CUF, sio Maalim, sio CUF bali ni mahakama pekee!, ama muiombe mahakama itamke hilo, ama mnyamaze kimya na kusubiri kunyolewa na wembe butu kwenye marudio ya uchaguzi!.

Pasco
 
Mkuu,
Wazanzibari ni watu wa ajabu sana!, kama mtu anakuja mbele ya vyombo vya habari na kutaja kuufuta uchaguzi, bila kutumia kifungu chochote cha sheria, halafu nyinyi mnamuangalia tuu, bila kuchukua hatua zozote!, mnashangaza sana!. Kazi ni kupiga tuu mikelele tuu humu!. Hapa Zanzibar ilipofika, kelele zimeishatosha na hazisaidii kitu!, sasa hizi kelele zinafanana na zile za chura kisimani, au kelele za mlango!, kinachotakiwa sasa ni kuchukua hatua!, matendo hukidhi haja maridhawa kuliko maneno!.

Endeleeni kupiga kelele, uchaguzi utarudiwa tena sasa sio bao la mkono tena, bali sasa ni bao la kisigino litafungwa kwa mpira wa tikitaka!.

Pasco

Mkuu Pasco unamaanisha wakati Jecha anatangaza kufuta matokeo ya uchaguzi bila kutumia kifungu chochote cha sheria alitakiwa awe amepitiwa na kitu chenye ncha kali au nimekuelewa vibaya.
 
Last edited by a moderator:

Mkuu,
Wazanzibari ni watu wa ajabu sana!, kama mtu anakuja mbele ya vyombo vya habari na kutaja kuufuta uchaguzi, bila kutumia kifungu chochote cha sheria, halafu nyinyi mnamuangalia tuu, bila kuchukua hatua zozote!, mnashangaza sana!. Kazi ni kupiga tuu mikelele tuu humu!. Hapa Zanzibar ilipofika, kelele zimeishatosha na hazisaidii kitu!, sasa hizi kelele zinafanana na zile za chura kisimani, au kelele za mlango!, kinachotakiwa sasa ni kuchukua hatua!, matendo hukidhi haja maridhawa kuliko maneno!.

Endeleeni kupiga kelele, uchaguzi utarudiwa tena sasa sio bao la mkono tena, bali sasa ni bao la kisigino litafungwa kwa mpira wa tikitaka!.

Pasco

Musitake kutia ushawishi watu wakauwana kwa sababu ya utawala. Wazanzibar wanajuwa na wanaweza kufanya zaidi ya hayo unayoeeza kufikiria wewe, lakini busara lazima itumike. Wazanzibar sio Washenzi kama ilivyo baadhi ya jamii za bara la Afrika. Hata mwanafalsafa mmoja maarufu Bob Marley alisema, " Don't loose your soul to gain the world, wisdom is better than silver and gold"

Suala ni kwamba Ukawa wamepigwa goli la mkono matokeo ya uraisi wa Tanzania, jee Watanganyika wamefanya nini? Mbona hujiulizi kama ni watu wa ajabu? Huwezi kuvunja katiba halafu ukataka tatizo litatuliwe kwa kufata katiba. Kauli ya Jecha haisimami na haina mashiko kikatiba na kisheria. Lazima ibatilishwe kama yeye mwenyewee hawezi kuibatilisha. Musifanye watu wajinga, watu wanakutizameni hizo mbio zenu, na mutafika ukingoni.
 
yule mama aliyesema "Serikali ya Zanzibar ni ya kimapinduzi" na haiwezi kuchukuliwa kwa makaratasi(kura) alisema nia yao.... uhuru ulipatikana kwa shida.. halafu uchukuliwe kirahisi tuu? na hii ilisemwa bungeni
 
Pasco Leo nimekukubali rasmi, mimi huwa sipendi blabla za wanasiasa,
 
Yaani h?ta mimi nimeanza kuwapuuza waznz ici nyie hiyo nchi tenu niya baazi yawatu kua Wao ndo znz.jecha ni anani .huyo niwakumkamatatu nakumtosa bahali mpaka mshindi amtangaze .
Je?ha mnamuweka nyie watanganyika mmeleta vifaru na askari wenu huku leo mnatushangaa waznz.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom