Jecha itangaze CUF imeshinda

Jecha itangaze CUF imeshinda

Huku hatuna haja ya kurudia uchaguzi, kwetu siku zote mshindi huwa ni CCM, ndio maana imebidi na huko lazima iwe ni CCM kufuatia rais wa Zanzibar kupaswa kuwa ni waziri asiye na wizara maalum, sasa kitendo cha CUF kushinda Zanzibar, kungepelekea kumuingiza nyoka ndani ya nyumba!. Kuliko kuingiza nyoka ndani ya CCM, bora futa matokeo, uchaguzi, ili huyo nyoka apondwe kichwa!.

Yes ni kweli kwa asilimia 100% Jecha hana mamlaka ya kufuta uchaguzi!, ila taasisi pekee yenye mamlaka ya kufafanua mamlaka ya Jecha, sio CUF, sio Maalim, sio CUF bali ni mahakama pekee!, ama muiombe mahakama itamke hilo, ama mnyamaze kimya na kusubiri kunyolewa na wembe butu kwenye marudio ya uchaguzi!.

Pasco

Duuhh!hivi shule ulienda kufanya nn?sasa kama ccm ndio mshindi kuna haja gani ya kufanya uchaguzi wakati mshindi ni ccm?imekuwaje mmeshindwa kujitangazia ushindi mwaka huu?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom