Jealous ya Ali Kiba yapata anguko kubwa licha ya views nyingi, sababu ni hizi

Unateseka ukiwa wapi wewe mtoa thread !? Ww una uhakika gani Kama alinunua views wivu Ni kidonda ndugu yangu and no research no right to speak Bora ungemsimanga alikiba juu ya swala lake la KUTOKUWA mbunifu hapo ningekuelewa maana hicho ndo seems kinamuangusha maana yeye yupoyupo tu Kama vile anafanya mziki wa gospel, kapooza, Hana Kiki, haendi na fashion, hajui kucheza na mziki wa Sasa Ni wa amapiano zaidi or even trends to make him kusikika Mara kwa Mara , hapo ungeeleweka lkn sio hiz point zako ambazo hazimake sense
Toa ngoma kali kazi ya kucheza tuachie mashabiki...mbona akina wizkid hawachezi
 
Mbona vitu basic wabongo hamulewi?..sio Kila Ngoma yenye views wengi lazima iwe namba1 trending.
Ukiona Ngoma Ina views kibao ila haitrend ujue haitrend hapa bongo Na viewers wengi wanatokea nje ya nchi mf. Kenya,Uganda,Nigeria nk.
 
Kwamba wasanii wanalipwa kwamba trending au viewers..kila maji yanapowafika shingoni mnatafuta chochoro sheeenz
 
Back
Top Bottom