Je, wewe unakumbuka kisa gani? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je, wewe unakumbuka kisa gani?

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by muuza ubuyu, Oct 28, 2012.

 1. muuza ubuyu

  muuza ubuyu JF-Expert Member

  #1
  Oct 28, 2012
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 2,637
  Likes Received: 744
  Trophy Points: 280
  Hbr wana chit chat!
  Huwa nakumbuka matukio flani ambayo yalitokea zamani nikiwa Dogo na huwa yananifanya nitabasamu hata nikiwa peke yangu!
  Nakumbuka nikiwa darasa la pili kuna mchezo ulivuma sana primary wa kucheza vishikizo/vifungo vya shati, suruali na mikoti! Sasa ukicheza kuna kuliwa na vishikizo vyote unamaliza!
  Sasa kisa chenyewe kinaanzia hapo, baba alikuwa na suti zake na mashati ya suti, alikuwa anashangaa nguo zake zinapoteza vishikizo moja baada ya nyingine! Ikafikia nikawa na vishikizo viiiingi, basi bwana siku ya siku nikajisahaau vikaonwa na baba na akagundua mie ndo huwa nakata vishikizo vyake, nilichezea kichapo mpaka basi! Huwa sisahau make nilikoma huo mchezo kwanzia siku hiyo!
  Je wewe MWANA JF wa chit chat unakumbuka kisa gani?

  Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
   
 2. mzurimie

  mzurimie JF-Expert Member

  #2
  Oct 29, 2012
  Joined: Oct 16, 2011
  Messages: 6,151
  Likes Received: 1,604
  Trophy Points: 280
  Huo ulikuwa uaribifu tu, mbona mashati yako ya shule hukuvitoa au?

  Sorry nilianza kupenda ka story kako nilipomaliza soma nikafikiri, mmmmmhhhh sio ujanja bali uj... Nimesahau neno.
   
 3. muuza ubuyu

  muuza ubuyu JF-Expert Member

  #3
  Oct 29, 2012
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 2,637
  Likes Received: 744
  Trophy Points: 280
  Usemalo ni kweli lkn we hukumbuki chochote cha uji.... Ulichokifanya zamani ulipokuwa mdogo lkn sasa umekua mkubwa na huwa unakumbuka unajishangaa mwenyewe! That's normal kwa watoto! mzurimie!

  Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 4. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #4
  Oct 29, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,093
  Likes Received: 6,559
  Trophy Points: 280
  za utotoni network inasach
  ungesema za utu uzimani lol ungeshangaa mwenyewe hapa.
   
 5. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #5
  Oct 29, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 47,335
  Likes Received: 2,659
  Trophy Points: 280
  mi nakumbuka kisa cha mpemba...
   
 6. Nicole

  Nicole JF-Expert Member

  #6
  Oct 29, 2012
  Joined: Sep 7, 2012
  Messages: 4,284
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Mie nakumbuka enzi mtindo wa kata k au mlegezo umeingia bac mie na watoto wenzangu wa kike na kiume,tukawa tumekataa kibarazan hom 2nashindana nani anaweza kupiga kata k na kutembea kwa pozi, kumbe maza angu kisharud toka job anatuchabo siye hatuna habari, bac wakapita wenzangu mbele yetu kwa mikogo na kata k zao huku tukishangilia, ilipofika zamu yangu nikapiga kata k (nilikuwa nimevaa kipensi na tshirt) ile naanza 2 kupiga hatua nikasikia saut ya maza akisema "weeeh ishia hapohapo" nilikuwa mdogo kama piriton na kipondo alichonipa hakina mfanowe!
   
 7. muuza ubuyu

  muuza ubuyu JF-Expert Member

  #7
  Oct 29, 2012
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 2,637
  Likes Received: 744
  Trophy Points: 280
  Hahahahaaaaaa Ciello hiyo nimekubali maza ako ni mzazi safi sana, make kama angekuacha hapo sijui sasa hivi ungekuwa wapi.......LOL!
  Nimecheka kweli hasa kwenye, "weeeh ishia hapo hapo!" . Utoto bwana kazi kweli kweli!

  Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 8. muuza ubuyu

  muuza ubuyu JF-Expert Member

  #8
  Oct 29, 2012
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 2,637
  Likes Received: 744
  Trophy Points: 280
  Hicho hicho cha kisa cha mpemba, ebu kilete mkuu watu8! Tiririka mwaaaaaaaanah!

  Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 9. muuza ubuyu

  muuza ubuyu JF-Expert Member

  #9
  Oct 29, 2012
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 2,637
  Likes Received: 744
  Trophy Points: 280
  Aaaaaaaaagh Mamdenyi usitufiche jamani najua hata kama we MZEE ka bi kidude najua unakumbuka saaaaaana! Funguka basi!

  Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 10. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #10
  Oct 29, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  mimi bwana nimekulia bush huko basi kule ilikuwa ni kilugha mtindo mmoja ...ukiongea kiswahili wewe ni superstar.
  basi siku moja kuna mtu akauliza majivu kwa kiswahili yanaitwaje apewe mpira mpyaa tulikuwa watoto kama 30 hivi hola uliza hata kwa wazee wapi?
  juzi huyo jamaa nilimuona akacheka kweli kweli hakuamini ni mimi
   
 11. Nicole

  Nicole JF-Expert Member

  #11
  Oct 29, 2012
  Joined: Sep 7, 2012
  Messages: 4,284
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Mkuu acha kabisa, maza angu alikuwa mkali kama simba na mimi nilikuwa mtukutu balaa ila kwake nilikuwa nanywea mbaya mpaka walimu walijua skul so ikawa nikiharibu 2 wanatishia kumwita! Bt alinishape kweli namshukuru sana may she RIP.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 12. Arushaone

  Arushaone JF-Expert Member

  #12
  Oct 29, 2012
  Joined: Mar 31, 2012
  Messages: 14,366
  Likes Received: 621
  Trophy Points: 280
  I don't recall my childhood's memories.
  Vya ukubwani hutaki muuza ubuyu?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 13. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #13
  Oct 29, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 47,335
  Likes Received: 2,659
  Trophy Points: 280
  hicho kisa kipo hivi...
  Nilikua naishi maeneo flani hivi pale Tanga mjini. Mtaa(Mwamboni) niliokua naishi kulikua na familia moja ya kipemba ambao walikua wanaishi nyumba ya mwisho kabisa ambapo mtu huwezi pita(dead end)...
  Basi kuna siku kuna kibaka alikua kaiba mtaa wa pili na watu wakawa wanamfukuza...kibaka bwana akawapiga chenga wale walokua wakimfukuza, ghafla akatokea uani hapo kwa Mpemba ambaye mkewe alikua anaosha masufuria ya ugali wa muhogo(bada).
  Punde kundi la watu nalo likawa limefika pale, basi kwa hasira wakamuuliza yule mama, "huyu kibaka tuliyekua twamfukuza kaelekea wapi?", yule mama kwa kujiamini akajibu kwa lafudhi ya Kipemba, "wanangu mie nilipomuona nikachukua mimaji ya ukoko nimwagia kumkomesha"....
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 14. muuza ubuyu

  muuza ubuyu JF-Expert Member

  #14
  Oct 29, 2012
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 2,637
  Likes Received: 744
  Trophy Points: 280
  Don't feel aibu kaka! Ahahahaaaaaa, poa bwana mie najua Baba V na mweshimiwa Mtambuzi wanakujua tokea utotoni, kuna kisa watakileta tu kama siyo Lala 1!
  Hebu lete cha ukubwani!

  Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 15. muuza ubuyu

  muuza ubuyu JF-Expert Member

  #15
  Oct 29, 2012
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 2,637
  Likes Received: 744
  Trophy Points: 280
  Oh pole sana! May our mother RIP! Maisha ndo hivyo najua kwa sasa utukutu ushaisha kabisa sasa hivi u mpoleeeeeeeeeeee?!

  Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
   
Loading...