Je wewe una mwanamke yoyote

Nov 23, 2020
58
96
Pale mke wako anapoweka kichwa chake kifuani na taratibu anauliza, ′′Mpenzi, je wewe * * una mwanamke yeyote katika maisha yako zaidi yangu?"* *

Kumbuka jibu lako sio muhimu kwa wakati huu, cha msingi ni * * mapigo yako ya moyo. Weka moyo wako katika udhibiti, inaitwa

Cyber security threat detection and mitigation combined with artificial intelligence.*
  • Ndugu, kamwe usipaniki.*
  • Narudia kamwe usipanic au utapoteza * * kes
 
Pale mke wako anapoweka kichwa chake kifuani
* * na taratibu anauliza, ′′ Mpenzi, je wewe * * una
mwanamke yeyote katika maisha yako zaidi
yangu?"* * Kumbuka jibu lako sio muhimu kwa
wakati huu, cha msingi ni * * mapigo yako ya
moyo. Weka moyo wako katika udhibiti, inaitwa
cyber security threat detection and mitigation
combined with artificial intelligence.*
  • Ndugu, kamwe usipaniki.*
  • Narudia kamwe usipanic au utapoteza * * kes
Mnapoquote na kupesti vimipasho vya WhatsApp muwe mnafanya editing... wenzio waliweka hivyo vinyota ili maandishi yawe "bold"
 
Back
Top Bottom