Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,092
- 34,902
[TABLE="width: 491"]
<tbody>[TR]
[TD="colspan: 3"]VIDEO - Pombe na Uchungu wa Kupigwa Kibuti na Mpenzi[/TD]
[/TR]
[TR="bgcolor: #E1E1E1"]
[TD]
Pombe zilipomtuma dereva aendeshe gari akiwa uchi[/TD]
[TD]Tuesday, November 01, 2011 7:00 PM
Akili za pombe zilizochanganyika na machungu ya kupigwa kibuti na mpenzi wake yalimfanya mwanaume mmoja wa nchini Urusi aendeshe gari akiwa uchi wa mnyama na kuyagonga jumla ya magari 17.[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 3"]Mwanaume aliyejitambulisha kwenye televisheni ya Urusi kama Vitaly Grodi aliwashangaza polisi waliokuwa wakilifukuza gari lake katikati ya jiji la Moscow pale walimpokamata na kumkuta Vitaly akiwa uchi wa mnyama.
Vitaly akiwa amelewa chakari huku akiwa na machungu ya kuachwa na mpenzi wake, alipanda kwenye taksi yake na kuanza kuiendesha hovyo na kuyagonga jumla ya magari 17.
Polisi walipewa taarifa ya tukio hilo na walianza kulifukuza gari la Vitaly wakimtaka asimame na atoke nje ya gari hilo.
Baada ya dakika chache za kufukuzana, polisi walifanikiwa kulisimamisha gari la Vitaly ambalo wakati huo lilikuwa halina tairi moja la mbele likiwa limegongwa sehemu mbalimbali.
Kali ya yote iikuwa pale Vitaly alipoamuriwa atoke ndani ya gari hiyo na kutoka akiwa uchi wa mnyama.
Vitaly ambaye alikuwa hajavaa hata viatu akiwa amelazwa chini na pingu mikononi, aliwapigia kelele polisi akiwataka wasimfunike na shuka ili kumuepusha kuendelea kumwaga radhi barabarani.
Angalia VIDEO ya tukio hilo chini.[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 3"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 3"]
VIDEO - Pombe na Uchungu wa Kupigwa Kibuti na Mpenzi[/TD]
[/TR]
</tbody>[/TABLE]

Last edited by a moderator: