Je, wewe ni msichana chini ya miaka 24? Karibu tuyajenge

BMWsimba

JF-Expert Member
Aug 6, 2018
347
506
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 25 ninaishi dar na shughuli zangu nafanyia dar; ninajitegemea nikimaanisha nimejiajiri na pia nimeajiriwa; elimu niña digrii moja; mengine tutaambiana na ambaye atakuwa tayari tuyajenge.
Ninatafuta mke/mwanamke wa Kuanza naye Maisha.
Vigezo awe na umri usiozidi 24; awe na elimu ya kidato cha sita/chuo.
Ucha Mungu sio lazima sana maana mtu ukiamua kuoa/kuolewa ni kiwango cha juu kabisa cha ucha Mungu.
Awe ni mtu anayeanza maisha ili tuanze wote kupanga maisha yetu ya baadae kwa hiyo fresh from school nitampa kipaumbele zaidi.

Karibu wewe msichana mwenye ndoto kubwa ya maisha unayetafuta mwanaume mwenye malengo anayeweza kubadilisha maisha yako.

Msichana umemaliza Chuo unakaa tu Kwenu umri unaenda usikubali karibu tuanze safari ya maisha.
 
Back
Top Bottom