Je, wewe ni mke wa mtu?

Je, wewe ni mke wa mtu?

Ila ukweli unenwe bayana ndugu zangu.
Hakika wakati mwingine hawa wenzetu wa jinsia Ke tunawachosha na haya makorokoro meengii.

Hata kama ni mfumo dume wakati mwingine uwe na kiasi.

Mke huyu huyu akupikie, akuoshee vyombo, akutengee na akulishe tonge mbili tena.
Duuu
Kwa hili naomba niwe upande wao kwa kweli.
 
Yote yanawezekana na yanafanyika ila km kuna mapenzi ya dhati baina yenu.
Wanaume wa sasa wanalilia kuthaminiwa ila wao ndo kabisaaaa hawajua nini maana ya mke.
 
Anachoongea ni ukweli mtupu, hayo mnayoyataka ni too much kwani nyie ni wakoma????
upikiwe, upakuliwe, ufuliwe hadi boxa, unawishwe, upelekewe maji, ulishwe, unawishwe wewe ni mkoma?hapo mwamamke akafanye kazi.anatafuta hela, alee na watoto mnakera mnoo mnakera asee
yaani wanataka wayakalishe tu....hata mavi hayakai bure ndio maana yanatoa harufu inzi wanayafuata khaaa
 
yani hawa.....
aamke achat chat, aambiwe maji tayari nshapeleka bafuni, anaoga unyooshe nguo zake, aambiwe karibu chai, akimaliza anasogea pembeni anachat, asinzie huku miguu.juu kama mshikio.wa.ndoo, mchana karibu chakula, umnawishe, upakue bado malalamiko.maji yalikua yana harufu ya maji (unnecessary malalamiko), chakula kitunguu kimepungua, hakuna ahsante.ni.malalamiko....kuchatttt, aitwe na.marafiki arudi saa nane uamke uandae.msosi umnawishe eti.umsubirie ale, amalize aanze kukupapasa huo usiku.ukikataa tatizo....nhata attention na anaekufanyia hayo hamna unataka kudemad kudemand tu kila kitu kiwe sawa na raha iwepo kwani sie hatutaki hizo raha?

aaaagggrrr qmaamamaae zaoooo
 
Anachoongea ni ukweli mtupu, hayo mnayoyataka ni too much kwani nyie ni wakoma????
upikiwe, upakuliwe, ufuliwe hadi boxa, unawishwe, upelekewe maji, ulishwe, unawishwe wewe ni mkoma?hapo mwamamke akafanye kazi.anatafuta hela, alee na watoto mnakera mnoo mnakera asee

Tunakera lkn bado mnalilia mjejegejo
 
yani hawa.....
aamke achat chat, aambiwe maji tayari nshapeleka bafuni, anaoga unyooshe nguo zake, aambiwe karibu chai, akimaliza anasogea pembeni anachat, asinzie huku miguu.juu kama mshikio.wa.ndoo, mchana karibu chakula, umnawishe, upakue bado malalamiko.maji yalikua yana harufu ya maji (unnecessary malalamiko), chakula kitunguu kimepungua, hakuna ahsante.ni.malalamiko....kuchatttt, aitwe na.marafiki arudi saa nane uamke uandae.msosi umnawishe eti.umsubirie ale, amalize aanze kukupapasa huo usiku.ukikataa tatizo....nhata attention na anaekufanyia hayo hamna unataka kudemad kudemand tu kila kitu kiwe sawa na raha iwepo kwani sie hatutaki hizo raha?

aaaagggrrr qmaamamaae zaoooo
Halafu muulize yeye amemfanyia nini mprnzi wake ili kumtia hamasa hakuna..... ...

Pyeeee

Watupishe

Mapenzi ni nipe nikupe.......

Mwisho watannya na kutaka wake zao wawaflashie ( hii ipo imetokea, mwanaume hasogezi hata kijiko...mpaka viatu avuliwe...bado kunawishwa tu walahi)
 
hapo sasa.....
 
Back
Top Bottom