Heci
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 3,855
- 6,855
KWA WANAWAKE TUU
Ewe mwanamke,
Haipendezi kumtengea chakula mumeo kisha ukaondoka.
Haipendezi kumtengea pot la chakula mumeo kisha ajipakulie mwenyewe.
Haipendezi kumtengea chakula mumeo kisha maji ya kunawa akatafute mwenyewe.
Haipendezi kumtengea chakula mumeo kisha maji ya kunywa akatafute mwenyewe.
Haipendezi kumtengea chakula mumeo bila kumwambia karibu chakula laazizi wangu.
Haipendezi mume kamaliza kula kisha aangaike kutafuta kitambaa cha kufutia mikono.
Haipendezi mume kamaliza kula vyombo vikabaki mezani wakati wewe mke upo nje unapiga umbea.
Haipendezi mume kamaliza kula kisha aanze kufuta au kufagia sehemu aliyolia, wakati wewe upo umekaa unaangalia TV tu.
Ebu badilika!
Mume akiitaji chakula mtengee vizuri.
Mpakulie mumeo ukiwa umetulia.
kisha mnawishe taratibu, ukimaliza mkaribishe kwa tabasamu.
Mlishe tonge mbili tatu za karibu bwana kisha muache ale mwenyewe.
Kaa nae karibu ale huku anakuangalia mkewe, chakula kiingie tumboni vizuri.
Mume ana hadhi yake bhana.
Raha ya chakula mume ale mke ukiwa pembeni.
usimfanye mumeo akuone kama ujafundwa kwenu.
Mapenzi ni vionjo tuuuu haina kwenda kwa waganga.
Jinsi utamvyomlea vizuri mumeo ndivyo nae atavyozidisha mapenzi kwako.
SHARE NA WENGINE