Kunywa maji yanasaidia kulegeza kooNapenda,but life ngumu ko watanzania tunaumia Sana.
Kila mtu anataka kuwa wa kisureShishi kwa nini asiongee kiswahili tu, aibu tupu...
Mwishowe kajitia aibu. Angeongea kiswahili walau angeficha upumbavu wake...Kila mtu anataka kuwa wa kisure
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Kunywa maji yanasaidia kulegeza koo
Shishi ni mtu wa utani..aliamua kuchangamsha kijiwe Mkuu..take it eaaaaaasy![emoji38] [emoji38]Shishi kwa nini asiongee kiswahili tu, aibu tupu...
. Nijuavyo mimi kwa mtanzania kwenda south africa kama ni chini ya siku 90, huitaji viza!!labda kama kuna mabadiriko sasa hivi!!huyo msanii tu kwakuwa wengi hawajui hilo watakuwa wamemshangilia kweli na kumuona bonge la tajiri!!!😃😃😃😃nilikuwa nafatilia kwa mbali 40 ya mtoto wa zamaradi mketema,kikubwa kilicho Nishangaza ni menwja mkuu wa diamond platinumz Babu tale kutangaza eti atawatolea viza kwenda South Africa,kwenye birthday ya tiffah,wanakamati wote,je hii? ni sawa
Life ngumu kwako mzeya. Wengine wanapeta town. Tafuta zako na wwNapenda,but life ngumu ko watanzania tunaumia Sana.
But anatoa mtonyo kweli. Nijuavyo mimi kwa mtanzania kwenda south africa kama ni chini ya siku 90, huitaji viza!!labda kama kuna mabadiriko sasa hivi!!huyo msanii tu kwakuwa wengi hawajui hilo watakuwa wamemshangilia kweli na kumuona bonge la tajiri!!![emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Jaribu kutoa hiyo logo kwenye profile yako unaidhalilisha mkuuNapenda,but life ngumu ko watanzania tunaumia Sana.