hahaha maandalizi lazima bana sasa unadhani walikuwa hawana mahaba...lol im kidding!Kwanza sidhani kama hao wa zamani walikua wanaandaana kama saivi
Una akili sana mkuu, wanawake wa kanda fulani wako na hiyo tabiaIla upate mtu romantic, yale mashamba hayatakagi hata kuguswa mkigombana 🤣🤣🤣 yanaleta beef ila mtoto flani mpole sana na romantic hapo ndio pa kuchukulia points.