Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,514
- 146,038
very good idea, i will do it soon
nothing to hide
Mwenzio (mwenza/ mwenzi wako) anakujia na wazo la kubadilishana simu za mkononi angalau kwa wiki moja - kuanzia Jumatatu asubuhi hadi Jumapili jioni.
Na anataka mbadilishane papo hapo bila kusubiri chochote. Yeye atakuwa na simu yako kwa hiyo wiki nzima na ataweza kupokea simu zako, text messages zako, na mengineyo na wewe utaweza kufanya vivyo hivyo na simu yake.
Je utafanya nini? Utamkubalia? Au utampiga tarehe kwanza ili upate wasaa wa kuwataarifu baadhi ya watu kuwa mwenzio anayo simu yako kwa hiyo wasikutafute kwenye namba hiyo i.e. kuweka mambo sawa?
Congratulations Kipipili kwani wengine itokee kitu kama hiyo hapo presha lazima ipande kwanza. By the way how old are you bro/sisy!.:smile-big:nothing to hide
Anapokuja na hilo wazo yeye anakua ashajiandaa.....sasa na mimi anipe muda wa kujiandaa...
Kwanza sihitaji simu yake in the first place:doh::frown::frown::frown:
Hapo unajitafutia homa zisizo na ulazima kwa mtaji huu mmmh :confused2:
**^^+Dereva anaangalia Usalama konta pesa..+^^**:cheer2:
haina haja kabisa, namkatilia moja kwa moja.