Bless mom
JF-Expert Member
- May 20, 2021
- 1,007
- 2,118
Unaongeaaa tuu hapaaa weweee....unanyimwaa vizuri tu na hakuna kitu utafanyaaaKuanza upya sioa Ujinga.
Aogopaye kutoa Talaka, kisa atatoa ngapi huyo Hana akili ni mwendawazimu.
Hatuoi kuja kusumbuana Kwa makusudi,
Mwezi mzima unamnyima Mumeo K, alafu unamuita Mume ??.
Tena ashukuru huyo, Mimi nilikua naleta Mwanamke ndani kabisa naanza kumla wakati huo nikikufanyia utaratibu wa Talaka, ili ukakae na K yako hukohuko.