Je, wawajua makada wa CHADEMA waliotengenezwa na CCM?

[
QUOTE=Tanganyika jeki;2115952]Chadema haina pesa ya kuwalipa makada. CCM inajimaliza yenyewe kwa kuwatengenezea makada wapinzani wao. Makada hao - kwa kujua au kutojua na mchango wao kwenye
mabano1. Wanafunzi waliofukuzwa au kusimamishwa vyuo vikuu - na juzi wamezalisha wengine Chuo cha Dodoma, wanafunzi wa shule za kata waliofeli kidato cha nne (kuishtakia serikali (ya CCM) kwa wananchi ili waichukie na kushindwa kuwa na elimu bora bali bora elimu2. Walimu na madaktari - hasa wa vijijini - waliopigika hawana nyumba vitendea kazi, mishahara kidogo na wapigwa bakora! Kupeleka na kueneza chuki kwa wanafunzi na wanavijiji kuhusu udhaifu CCM na serikali yake 3. Wanachama na wachangiaji wa Jamii forums (kuwasaidia CHADEMA kwa hoja, habari na mawasiliano) 4. Mwenyekiti kwa kutoa mara kwa kauli zake za tata - kama viongozi wa dini wauza unga, viherehere vyenu (kauli nyingine, ongeza mwenyewe.5. Polisi (virungu, na risasi zao zinaiumiza CCM kuliko CDM). Dhana ni kupoteza credibility ya CDM kwa wananchi km chama cha kuharibu amani. Ushahidi unaonesha watu wazidi kuongezeka hasa ktk maandamano. Lakini pia uonevu na unyanyasaji wa polisi kwa mambo ya haki na kudai maslahi umewafanya watu wazidi kuichukia serikali ya CCM6. Wabunge na mawaziri wa CCM. (Bila kuijua wanaitangaza CDM majimboni, Bungeni na ktk vyombo vya habari na hoja dhaifu zisizo na maslahi ya taifa na wengi)7. Mwanahalisi, raia mwema, tz daima, mwananchi, kulikoni, majira na nipashekwa wkt fulani. Haya hayasiti kuripoti na kuonesha mapungufu ya chama, serikali na viongozi wake.8. Radio zenye mijadala ya kimaendeleo zinazowaunganisha wananchi moja kwa moja9. Baadhi ya TV Stations na vipindi hasa vya majadiliano 10. Viongozi na watumishi wa serikali za mitaa. (Cjui wanafanya makusudi - na kwamba wameichoka serikali yao - kwani ni kero kwa wananchi)11. Watumishi wa umma kwa ujumla wao. (Km hujui inyake hii. Miongoni mwa watumishi wa umma kuna matabaka makuu mawili:- ya walioletwa na vigogo na kulindwa ajira zao - hawa ni tawi la tabaka tawala na juu na wengi ni mafisadi au watetezi wa ufisadi. La pili ni waloajiriwa kwa merits zao. Hawa, kwa kweli wanatumika hasa lakini maslahi yao ni stahiki yao na baadhi ni hupata mshahara duni. Wamekata tamaa. Baadhi wanafanya whistle blowing - wanamwaga mboga baada ya kukosa ugali. CDM hawahitaji mashushushu hawa huisadia! Kwa kupeleka taarifa chamani au na mara kwenye vyombo vya habari)12. Ongeza unaowajuaTANZANIA KWANZA[/QUOTE]<br />

Nadhani mbali na kujadili matatizo yaliopo kwa sasa (umeme,mafuta na mfumuko wa bei) ungefikiria zaidi katiba mpya na hoja ya wagombea binafsi.Ukifiria Chadema kama Mkombozi,utakuja kutafuta mkombozi wa pili tena kwa machafuko ya kutisha.

Tazama Uingereza,vyama na uongozi mpya umepewa dhamana kwa ''labour'' ya Blair na Brown kuonekana mbaya,leo wanachomana huko.Shida zimezidi na hakuna tumaini.
 
Nape @ work, kalaghabaho.....
<br />
<br />
ASEE NAWASHKURU WACHINA KWA TECHNOLOGIA HII MAKE UWEZO WA LAPTOP MI NTOTO WA NKULIMA SINA HEHEHE LAKINI NAINJOY JF HADI CHOONI KWA KCM CHANGU HIKI .JF SAFI SANA ITS TRUE WE AR GT'S
 
Jamaa kana hoja! Hayo makundi ni hatari sana kwa CCM. Kama CCM itashindwa ku manage hayo mambo sioni ikirejea tena kwenye Nyumba nyeupe pale Dar nadhani sasa watahamia Dodoma.
 
Naona mmeamua kujifariji


So said even at the time of liberation for the independence though it never stopped the move, there always are postive outcomes when unity is built against corruption and lies, success takes time but as a matter of fact it eventualy comes. For now we can say "..........the Karamajongo will find us on the way". Any system, any group has got follower, there is always going to be corruption followers, people benefiting from the suffering of poor Tanzanians but traitors are never the winners. Keep it in your mind!!
 
[
QUOTE=Tanganyika jeki;2115952]Chadema haina pesa ya kuwalipa makada. CCM inajimaliza yenyewe kwa kuwatengenezea makada wapinzani wao. Makada hao - kwa kujua au kutojua na mchango wao kwenye
mabano1. Wanafunzi waliofukuzwa au kusimamishwa vyuo vikuu - na juzi wamezalisha wengine Chuo cha Dodoma, wanafunzi wa shule za kata waliofeli kidato cha nne (kuishtakia serikali (ya CCM) kwa wananchi ili waichukie na kushindwa kuwa na elimu bora bali bora elimu2. Walimu na madaktari - hasa wa vijijini - waliopigika hawana nyumba vitendea kazi, mishahara kidogo na wapigwa bakora! Kupeleka na kueneza chuki kwa wanafunzi na wanavijiji kuhusu udhaifu CCM na serikali yake 3. Wanachama na wachangiaji wa Jamii forums (kuwasaidia CHADEMA kwa hoja, habari na mawasiliano) 4. Mwenyekiti kwa kutoa mara kwa kauli zake za tata - kama viongozi wa dini wauza unga, viherehere vyenu (kauli nyingine, ongeza mwenyewe.5. Polisi (virungu, na risasi zao zinaiumiza CCM kuliko CDM). Dhana ni kupoteza credibility ya CDM kwa wananchi km chama cha kuharibu amani. Ushahidi unaonesha watu wazidi kuongezeka hasa ktk maandamano. Lakini pia uonevu na unyanyasaji wa polisi kwa mambo ya haki na kudai maslahi umewafanya watu wazidi kuichukia serikali ya CCM6. Wabunge na mawaziri wa CCM. (Bila kuijua wanaitangaza CDM majimboni, Bungeni na ktk vyombo vya habari na hoja dhaifu zisizo na maslahi ya taifa na wengi)7. Mwanahalisi, raia mwema, tz daima, mwananchi, kulikoni, majira na nipashekwa wkt fulani. Haya hayasiti kuripoti na kuonesha mapungufu ya chama, serikali na viongozi wake.8. Radio zenye mijadala ya kimaendeleo zinazowaunganisha wananchi moja kwa moja9. Baadhi ya TV Stations na vipindi hasa vya majadiliano 10. Viongozi na watumishi wa serikali za mitaa. (Cjui wanafanya makusudi - na kwamba wameichoka serikali yao - kwani ni kero kwa wananchi)11. Watumishi wa umma kwa ujumla wao. (Km hujui inyake hii. Miongoni mwa watumishi wa umma kuna matabaka makuu mawili:- ya walioletwa na vigogo na kulindwa ajira zao - hawa ni tawi la tabaka tawala na juu na wengi ni mafisadi au watetezi wa ufisadi. La pili ni waloajiriwa kwa merits zao. Hawa, kwa kweli wanatumika hasa lakini maslahi yao ni stahiki yao na baadhi ni hupata mshahara duni. Wamekata tamaa. Baadhi wanafanya whistle blowing - wanamwaga mboga baada ya kukosa ugali. CDM hawahitaji mashushushu hawa huisadia! Kwa kupeleka taarifa chamani au na mara kwenye vyombo vya habari)12. Ongeza unaowajuaTANZANIA KWANZA
<br />

Nadhani mbali na kujadili matatizo yaliopo kwa sasa (umeme,mafuta na mfumuko wa bei) ungefikiria zaidi katiba mpya na hoja ya wagombea binafsi.Ukifiria Chadema kama Mkombozi,utakuja kutafuta mkombozi wa pili tena kwa machafuko ya kutisha.

Tazama Uingereza,vyama na uongozi mpya umepewa dhamana kwa ''labour'' ya Blair na Brown kuonekana mbaya,leo wanachomana huko.Shida zimezidi na hakuna tumaini.[/QUOTE]


Mawazo na fikra za Watanzania hazitegemei mtazamo wa waingereza, falsafa ya Tanzania na raia wake ni tofauti. Lakini sioni tatizo kukataa kuibiwa hata kama kutakugombanisha na wanaoiba, tatizo ni unapoibiwa umenyamaza na bado unakufa kwa njaa, kukosa huduma ya afya, ujinga, ajali za kizembe n.k, au huko sio kuchomana, au sio shida hizo, au kuna matumaini gani humo?
 
Wastaafu mbalimbali wanaonyanyaswa na pension zao.

Wachaga wengi ambao nape anasema cdm ni chama cha wachaga.
 
Back
Top Bottom