Je, watumishi wa umma watarajie nyongeza ya mishahara 2019/2020?

ELI-91

JF-Expert Member
Aug 24, 2014
3,589
2,000
Swala la maslahi ya watumishi limekua kitendawili katika awamu hii ya tano, kuna mengi yasiyo elezeka, baadhi ya watumishi wamepanda madaraja na vyeo huku wengi wakiendelea kupiga 'mark time'! kima cha chini cha mishaharahakija badilika, kama TGS... ilikua TSh 200 mwaka 2016 imeendelea kuwa 200 mpaka leo

Nayo Serikali haijaishiwa visingizio, walianza na uhakiki na sasa mheshimiwa waziri mkuu amekuja na story mpya inayoiita 'tume ya mishahara na motisha', kama kawaida ya wanasiasa PM amewomba watumishi wawe wavumilivu kwakua mheshimiwa rais ameunda hiyo tume na 'soon' mambo yote yatakaa sawa!

Leo waziri wa fedha Dr. Mpango baada ya kuwasilisha mapendekezo ya serikali juu ya ukomo wa bajeti ya 2019/2020 ndio tunaanza kupata picha kuwa inawezekana hizi ahadi za PM ni kujaribu tu kuwapooza watumishi.

Katika mwaka wa fedha 2018/2019 serikali ilitenga Tsh 7,409,952,000 kwa ajili ya mishahara, katika mapendekezo ya serikali juu ya ukomo wa bajeti ya 2019/2020 serikali imependekeza Tsh 7,558,974,400 kwa ajili ya mishahara.

Tofauti ya mwaka huu na ule ujao wa fedha ni Tsh 149,022,400 tu! kumbuka ongezeko hilo pia linahesabia mishahara ya ajira mpya zitakazo pewa vibali mwaka 2019/2020, sasa je kwa idadi ya watumishi wa umma iliyopo, na kwa ajira mpya zitakazo tolewa, kutakua na nyongeza yoyote kwa watumishi??? au ndio mchezo utaendelea wa kuwapandisha vyeo wafunga buti huku wengine wakiambiwa wawe wavumilivu tume ya raisi imalize kazi yake?
 

Kennedy

JF-Expert Member
Dec 28, 2011
33,011
2,000
Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania
Ameshatolea Ufafanuzi Hilo Ataongeza Pesa Nyingi Sana Siyo Tshs 10000/-
Ndugu Zangu Mniamini Niwafanyizie Kazi
 

Robot la Matope

JF-Expert Member
Apr 10, 2015
5,148
2,000
mkuu watumishi wa umma wapo kwa ajili ya kuwahudumia watanzania wote bila kujali vyama vyao, na ndio maana hawaruhusiwi kuwa viongozi wa vyama vya siasa wala kuvaa mavazi ya chama chochote cha siasa kazini. Hivyo wanapokosa motishi ni hasara kwa umma wote wa watanzania na sio CCM, ukienda hositali daktari akakuandikia azithromycin badala ya lamivudine haitakufa CCM bali wewe mkuu
Hivi unajua DED ndo Afsa wa TUMA YA TAIFA YA UCHAGUZI?!?

Afsa uchaguzi wa wilaya ni mtumishi?!?!
Afsa uchaguzi wa kata (mara nyingi ni wale walimu wanaoratibu elimu katani) ni watumishi?!??

Hawa ndo wezi wakubwa wa kura za wananchi!!!!! Wanaibia watu kura zao, wanatuwekea viongozi fake wa CCCM!?!?!

ACHA WAIPATEPATE MMMMMMAMAEEEEE ZAO

Sent from Huawei Mate X
 

ELI-91

JF-Expert Member
Aug 24, 2014
3,589
2,000
Kwanini wafanyakazi wote wa nchi hii wasiandamane mpaka wizara ya fedha. Kama wenzao wa Tunisia. Maana wafanyakazi hawana mtetezi wamekua kama ndege wakiwa juu ya paa.
watumishi wamejaa uzalendo na ndio maana wamekua wavumilivu muda wate huu, nadhani ni wakati sasa wa serikali kutimiza ahadi ya 'nyongeza kubwa' iliyotolewa kule Iringa na kiongozi mkuu.
 

ELI-91

JF-Expert Member
Aug 24, 2014
3,589
2,000
watumishi wa uma tunalszimishwa kuitumikia fisi M, tunalazimishwa kuchangia mwenge wa uhuru kisa eti tunatekeleza ilan yao aisee huu n upuuzi mazee
ndio hivyo mkuu, serikali ya chama imeshika hatamu, mheshimiwa aliahidi kurudisha nidhamu ya kazi kwa watumishi wa umma, hata yeye mwenyewe amekiri kuwa nidhamu imerudi sasa ni wakati wa 'positive reinforcement' kwa watumishi wetu.
 

Kinoamiguu

JF-Expert Member
Nov 29, 2018
5,684
2,000
Swala la maslahi ya watumishi limekua kitendawili katika awamu hii ya tano, kuna mengi yasiyo elezeka, baadhi ya watumishi wamepanda madaraja na vyeo huku wengi wakiendelea kupiga 'mark time'! kima cha chini cha mishaharahakija badilika, kama TGS... ilikua TSh 200 mwaka 2016 imeendelea kuwa 200 mpaka leo, nayo serikali haijaishiwa visingizio, walianza na uhakiki na sasa mheshimiwa waziri mkuu amekuja na story mpya inayoiita 'tume ya mishahara na motisha', kama kawaida ya wanasiasa PM amewomba watumishi wawe wavumilivu kwakua mheshimiwa rais ameunda hiyo tume na 'soon' mambo yote yatakaa sawa!
Leo waziri wa fedha Dr. Mpango baada ya kuwasilisha mapendekezo ya serikali juu ya ukomo wa bajeti ya 2019/2020 ndio tunaanza kupata picha kuwa inawezekana hizi ahadi za PM ni kujaribu tu kuwapooza watumishi.
katika mwaka wa fedha 2018/2019 serikali ilitenga Tsh 7,409,952,000 kwa ajili ya mishahara, katika mapendekezo ya serikali juu ya ukomo wa bajeti ya 2019/2020 serikali imependekeza Tsh 7,558,974,400 kwa ajili ya mishahara. Tofauti ya mwaka huu na ule ujao wa fedha ni Tsh 149,022,400 tu! kumbuka ongezeko hilo pia linahesabia mishahara ya ajira mpya zitakazo pewa vibali mwaka 2019/2020, sasa je kwa idadi ya watumishi wa umma iliyopo, na kwa ajira mpya zitakazo tolewa, kutakua na nyongeza yoyote kwa watumishi??? au ndio mchezo utaendelea wa kuwapandisha vyeo wafunga buti huku wengine wakiambiwa wawe wavumilivu tume ya raisi imalize kazi yake?
taarifa nilizonazo na ambazo nimezithibitisha ni kwamba hapatakuwa na Nyongeza ya mishahara.... watumishi wa umma wa Tanzania ni kikundi cha watu wasiojitambua. hakuna haki inayokuja kwenye sahani, huwezi kusubiri haki ikufuate unaidai bila kugoma hakuna maslahi . wasubir may mosi wapewe tshirt na kusoma mashairi huku wakisubir hotuba za NGEBE NA KEBEHI
Goma goma goma mtumishi . raisi alishawapa mlungula viongozi wa kitaifa wa vyama vya wafanyakazi... unamsikia mukoba?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom