Je Watu Weusi Tunahitaji Sunscreen???

Je Watu Weusi Tunahitaji Sunscreen???

Watu weusi wa kike au kiume ?
Kwa wanaume inaweza ikawa ni upinde kufanya hivyo.

Kwa mwanamke kuna aina ya vipodozi kwa ajili ya weusi na wale maji ya kunde na weupe kabisa.
 
Kwanin sisi hatuungui na jua Mimi natembea nayo mda wote
 

Attachments

  • IMG-20250726-WA0007.jpg
    IMG-20250726-WA0007.jpg
    22.5 KB · Views: 24
Ndo habari ya mujini kwa sasa watu wanapiga helaa...
Otherwise kunywa maji ya kutosha mwili uwe hydrated
 
Back
Top Bottom