FUTURE HUNTER
JF-Expert Member
- Apr 30, 2018
- 2,022
- 2,592
Poleni kwa kuzimiwa internet.
Nirejee kwenye mada yangu,Je watanzania wanaweza kweli kupigania kuikomboa nchi toka kwa mkoloni mweusi huyu. Kila siku tumekuwa tukiona matukio mengi ya uonevu kutoka chama dola lakini hakuna siku watanzania wakachukua hatua stahiki za kuwawajibisha wahusika.
Kila mara wanasiasa na wanaharakati wakiwaasa raia ku organize maandamano hakuna kinachotokea na wananchi wanajifungia chumbani kwa uoga.
Je, kuna siku wananchi wa nchi hii wataweza kusema enough is enough na kuamua kupigania haki zao kama wenzetu malawi,kenya na sehemu zingine.
Wakat mwingine hata kutegemea vyombo vya ulinzi vikatae udhalimu ni bure tu kwa kuwa sehemu nyingi ambapo jeshi lilifanya hivyo n baada ya kuona nguvu ya umma ikifanya kazi mfano Sudani.
Kwa nionavyo mimi nadhan watanzania watatawaliwa milele wakiendelea kuwa hivi hivi bila kubadilika.