Kukisha Kuwa na udanganyifu kweye chaguzi Za kisiasa,zinazotawaliwa na rushwa na wizi wa kura,hakuwezi Kuwa Na haki tena Sehemu yoyote.Tunapataje viongozi?Tume zinatenda haki?Hapo ndo pa kuanzia.
Utafiti uko sahii kabisa 10000000000& unayepinga ipo siku ata ukiambia uki sex na mzazi wako ni irani ya chama utafanya ivyo coz kumetokea kizazi cha hajabu sana ktk hili linchi sizani kama kutatokea kizazi cha hovyo kama hiki na ingelikuwa kipindi kile miaka ya B.C tungeangamizwa kwa mawe kwa sababu hatuna faida yoyote kny huu ulimwengu zaidi ya unafiki na wizi tungeangamizwa ili kije kizazi chenye akili timamu siyo hiki cha wizi unafiki na usengerema