K Kamundu Platinum Member Joined Nov 22, 2006 Posts 9,268 Reaction score 13,895 Jan 26, 2025 #1 Hebu kamuulizeni Mzee Wasira tofauti ya TV na online TV tuone kama anajua. Tanzania inabadilika kwa haraka na wazee wengi hawajui
Hebu kamuulizeni Mzee Wasira tofauti ya TV na online TV tuone kama anajua. Tanzania inabadilika kwa haraka na wazee wengi hawajui
Msakaa Jr JF-Expert Member Joined May 18, 2017 Posts 7,390 Reaction score 7,838 Jan 26, 2025 #3 Ni maendeleo yaliyotengenezwa na CCM
4 4 7mbatizaji JF-Expert Member Joined Dec 8, 2019 Posts 11,301 Reaction score 12,952 Jan 26, 2025 #4 Mzee wangu hajui, that's kila akivaa koti anapitanisha vifungo