mwanaMtata
JF-Expert Member
- Oct 18, 2014
- 2,393
- 1,433
- Thread starter
-
- #61
Exactly hio ndio point yangu..Tunapozungumxia utamadun inaamana waanza kufunzwa hyo mambo tangu utoton!mfno hpo hpo dar kunamakabila hyo ni ishu ya kawaida sana week hdi week kz ni hyo tuu!!hii itawashangaza wa kishua ila watt wa mbwa hpo ndo pnywe!!!fatilia singeli zinapigwa wp ndo utaamin!!
Mkuu unaelewa unachosema?Mkuu kichupa tv ifungiwe
Tunamtaka chura what??hii social ya wapii??
Mkuu kweli usemayo hao sio wanawake ni majike.Kuna tofauti kubwa kati ya mwanamke na mbwa jike, ng'ombe jike, hata ngurue jike. Pia nyani ni jike ila binaadam amepewa sifa ya kua mwanamke.
Mi ninaoona hapa si wanawake bali ni majike. Na kuna ambao sifa ya mwanamke haiwafai.
mwanamke amepewa jukumu zito la kuendeleza jamii na sio kufanya kama hii hapa;
Point mkuu pia kina dada wanafanyaga maamuzi ya sekunde bila kufikiria kwa undani.Mkuu kweli usemayo hao sio wanawake ni majike.
Hao ni zaidi ya hao majike ya wanyama.
Mwenyezimungu ameumba viumbe vingi sana lakini amesema viumbe bora ktk viumbe vyote ni binaadam.
Lakini kama binaadam hatojua ubora wake kama hawa majike unayo yasema ubora wake hautakuwepo.
Lakini tujiulize mpaka binaadam anafikia hatuwa hii yakuwa zaidi ya myama nini?
Mm nadhani kwanza ni kutojitambuwa.
Pili ni tamaa za maisha mazuri bila kujituma.
Tatu malezi na maadili ya maisha waliyonayo.
Zaidi ya yote naamini watu hawa hawana dini nakama wanzo dini basi hawazijui aidha hawakuzisoma au wameamuwa kuziasi dini walizo zikuta.
Kiongozi!Hao ndo wanawake bwana! mwili nyumba, akili giza.
Wanasema mwanamke akikosa akili akapewa uzuri via vyake vya uzazi ndo vinsumia.Kiongozi!
Ni aibu kwa kweli.
Halafu mambo hayo bora wangefanya Vigoli, au kwa lugha nyingine wale Wasichana ambao wametoka kuvunja Ungo muda si mrefu, ningeelewa.
Lakini cha ajabu hao ni Majimama ambayo yameshakubuu, mbaya zaidi hawana hata mvuto
Death can not be deeply explained. Can only be experienced. But the significant is that one can no longer explainNa wewe ulouweka hapa in full bila ya hata kuukata. Mimi nimetizama sekunde 15 za mwanzo nikausimamisha!
Kwa up anafundishwa kua kwenda kwenye ndoa akaanike uchi Kwa yeyote sindiohIii inaitwa fagia uwanja,mwanamke anaetaka kuolewa anafanxiwa hivi na mara( nyingi sio wote) nae anahusika kucheza hivyo hivyo
Hapana hata Mimi sifahamu malengo yaoKwa up anafundishwa kua kwenda kwenye ndoa akaanike uchi Kwa yeyote sindio
Ila kwa kweli wanaidhalilisha sifa ya uanaukeHapana hata Mimi sifahamu malengo yao
Majanga.Wanasema mwanamke akikosa akili akapewa uzuri via vyake vya uzazi ndo vinsumia.
Sasa hawa hawana vyote sijui kinachoumia nn
Wanawake wapi mkuu? Au unamaanisha ao ngurue apo juu?Majanga.
Wanawake wa hivyo ni wale ambao wameshakata tamaa ya maisha, au kwa lugha nyingine wamejizila