mwanaMtata
JF-Expert Member
- Oct 18, 2014
- 2,393
- 1,433
- Thread starter
-
- #41
Achana na hao..Mimi siwashangai hao wanawake, ila nawashangaa hao wanaume ambao wanaweza kuwepo hapo wakipiga hayo mangoma alafu wako normal. Duuuh, kweli WANAUME WA DAR
Haya basi
NashangaaNini sababu ya kupost hiyo clip?
Mbona Mungu tunamlazimisha aje mapema?? Hivi tumesahau kbs kwamba hukumu hamna???
Kweli Dar hamna wanaume.
Nini sababu ya wewe kua hapa?Nini sababu ya kupost hiyo clip?
Uungwana ni kujibu kwanza swali uliloulizwa kisha nawe uulize.Nini sababu ya wewe kua hapa?
ahahahahahahaaa bora uwaangalie maana umetia hurumaSasa si wanawake wanataka haki zao. Mungu tu ndie atakae wahukumu. Sisi tunawaangalia tu
Saa zingine swali ni jibu.Uungwana ni kujibu kwanza swali uliloulizwa kisha nawe uulize.
Utamaduni sikatai. Ingefanywa private with a selected audience.labda ni tamaduni zao. pengine wewe uko civilized unaona siyo sawa ila pengine kwao ni utamaduni wanaona ni sawa
Sio kweli, swali na jibu ni vitu viwili tofauti.Saa zingine swali ni jibu.
(Some questions can be answered by questions)
Unaweza niuliza "ulikua wapu?" Nami nikakujibu "ulinituma wapi?"Sio kweli, swali na jibu ni vitu viwili tofauti.
Wapu = WapiUnaweza niuliza "ulikua wapu?" Nami nikakujibu "ulinituma wapi?"
Hujapata jibu lako hapo??
Okay watu type yako ni wale wanaeza bisha 2*3 na 3*2 si sawaWapu = Wapi
Hapana, unapaswa kusema ulipokuwa kisha nawewe uulize swali.