Je wanaume kama hawa bado wapo???

Je wanaume kama hawa bado wapo???

katoto kazuri

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2018
Posts
6,126
Reaction score
5,758
SOMA HAPA !!
Msichana alimtembelea boyfriend wake.
Baada ya kuingia chumbani,msichana
alimkumbatia na kumsalimia.
Baada ya dakika 30 yule msichana alianza kuvua
nguo zake zote na kubaki kwenye chupi na
sindiria tu.Baada ya hapo mazungumzo
yafuatayo yakafuata.
.
Msichana: Njoo basi tufanye mapenzi baby.
Mkaka:Hapana baby,sitaweza kufanya mapenzi
na wewe.
Msichana: Au mimi sio mzuri jamani,ona nimevua
nguo zangu tafadhali njoo tufanye mapenzi
nakuomba jamani.
Mkaka: Ndio wewe ni mzuri lakini vaa nguo zako
tu.
Msichana: (Akivua chupi na Sindiria)
Ona niko uchi wa mnyama kabisa
baby njoo basi tufanye mapenzi au hauko kwenye
mudi ya kufanya mapenzi jamani?
Mkaka:Vaa nguo zako tu,nina mudi lakini
sitafanya mapenzi na wewe.
Msichana: Kwa nini jamani, au hunipendi?
Mkaka: Ndio nakupenda sana lakini nasubiri
mpaka usiku wa ndoa ndio tufanye mapenzi.
Tusubiri basi mpaka siku ile ya usiku wetu wa
ndoa nakupenda na ninaheshimu mwili wako.
.
WAKAKA KAMA HUYU BADO WAPO??
.
NDIO Or HAPANA????
.
.
Tafadhali SHARE posti hii kwako
 
Huyo ni mgonjwa
 
lazima kuangalia kama yaliyomo yamo kabla hujakabiziwa hati milki mana siku hzi makanjanja wengi.
 
SOMA HAPA !!
Msichana alimtembelea boyfriend wake.
Baada ya kuingia chumbani,msichana
alimkumbatia na kumsalimia.
Baada ya dakika 30 yule msichana alianza kuvua
nguo zake zote na kubaki kwenye chupi na
sindiria tu.Baada ya hapo mazungumzo
yafuatayo yakafuata.
.
Msichana: Njoo basi tufanye mapenzi baby.
Mkaka:Hapana baby,sitaweza kufanya mapenzi
na wewe.
Msichana: Au mimi sio mzuri jamani,ona nimevua
nguo zangu tafadhali njoo tufanye mapenzi
nakuomba jamani.
Mkaka: Ndio wewe ni mzuri lakini vaa nguo zako
tu.
Msichana: (Akivua chupi na Sindiria)
Ona niko uchi wa mnyama kabisa
baby njoo basi tufanye mapenzi au hauko kwenye
mudi ya kufanya mapenzi jamani?
Mkaka:Vaa nguo zako tu,nina mudi lakini
sitafanya mapenzi na wewe.
Msichana: Kwa nini jamani, au hunipendi?
Mkaka: Ndio nakupenda sana lakini nasubiri
mpaka usiku wa ndoa ndio tufanye mapenzi.
Tusubiri basi mpaka siku ile ya usiku wetu wa
ndoa nakupenda na ninaheshimu mwili wako.
.
WAKAKA KAMA HUYU BADO WAPO??
.
NDIO Or HAPANA????
.
.
Tafadhali SHARE posti hii kwako
Hata mm ningekuwa mi bado kijana nisikubali. Mwanamke hanibhana aibu
 
Mi nipo hapa
 
Inaweza ikatokea hivi pindipo mwanamme huyo anamalengo yakweli juu ya msichana husika. Maana pindi watakofanya mapema basi ndoa yao tarajiwa, wanaiweka rehani kwa shilingi moja. Nivizuri kuwa na msimamo thabiti zidi ya mambo kama hayo eli kuepusha mtafaruk hapo mbeleni.
 
Back
Top Bottom