Je waliozima mita bandari washatumbuliwa?

VIVIANET

JF-Expert Member
Aug 30, 2015
2,129
2,918
Ndugu zangu wapendwa napenda tu mnisaidie kujua kama walifanya kitendo kiovu cha kuzuia mita isisome na kuiruhusu kuanza kusoma waliposikia waziri mkuu anaenda je wameshatumbuliwa au ndio basi yaliopita si ndwele tugange yajayo?

Ni muda mrefu sisikii habari hizo tena sijui kwa sababu nipo nje ya mipaka na mara nyingi nipo busy na shule au zimefukiwa kama ilivyokuwa huko nyuma! tafadhali mwenye taarifa ya uhakika anisaidie
Asanteni
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom