Je, waliozima mita bandarini walishatumbuliwa?

VIVIANET

JF-Expert Member
Aug 30, 2015
2,129
2,918
Ndugu zangu wapendwa napenda tu mnisaidie kujua kama walifanya kitendo kiovu cha kuzuia mita isisome na kuiruhusu kuanza kusoma waliposikia waziri mkuu anaenda je wameshatumbuliwa au ndio basi yaliopita si ndwele tugange yajayo?

Ni muda mrefu sisikii habari hizo tena sijui kwa sababu nipo nje ya mipaka na mara nyingi nipo busy na shule au zimefukiwa kama ilivyokuwa huko nyuma! tafadhali mwenye taarifa ya uhakika anisaidie
Asanteni
 
Hawezi kumtumbua jamaa anatoka ukanda mmoja na mkuu wa kaya na pia wanasali siku inayofanana yaani j2
 
Ndugu zangu wapendwa napenda tu mnisaidie kujua kama walifanya kitendo kiovu cha kuzuia mita isisome na kuiruhusu kuanza kusoma waliposikia waziri mkuu anaenda je wameshatumbuliwa au ndio basi yaliopita si ndwele tugange yajayo?

Ni muda mrefu sisikii habari hizo tena sijui kwa sababu nipo nje ya mipaka na mara nyingi nipo busy na shule au zimefukiwa kama ilivyokuwa huko nyuma! tafadhali mwenye taarifa ya uhakika anisaidie
Asanteni
Yawezekana wana taarifa sahihi zaidi ya walizokuwa nazo mwanzo alipokwenda kutumbua kwa kutumia kamera za TV!
 
Ndugu zangu wapendwa napenda tu mnisaidie kujua kama walifanya kitendo kiovu cha kuzuia mita isisome na kuiruhusu kuanza kusoma waliposikia waziri mkuu anaenda je wameshatumbuliwa au ndio basi yaliopita si ndwele tugange yajayo?

Ni muda mrefu sisikii habari hizo tena sijui kwa sababu nipo nje ya mipaka na mara nyingi nipo busy na shule au zimefukiwa kama ilivyokuwa huko nyuma! tafadhali mwenye taarifa ya uhakika anisaidie
Asanteni
Eti kale katoto ka yule aliyeenda zake, kale kabunge kwenye jimbo la babake eti ndo alifunga zile koki zisifanye kazi
 
Walikurupuka!! Hata sasa wameanza tumia tena deepstick kwani hizo mita ni mbovu na hazina ufanisi
 
kwani saa izi zimewashwa mbona hakuna mrejesho wa kuwa zilipozimwa tulipata kodi kiasi kadhaa na baada ya kuziwasha imekua ivi naona kimya tuu..
 
Jpm angefumba macho kutumbua majipu yote na kuruhusu katiba ya wananchi ili ccm wakimkata achaguliwe kama mgombea binafsi 2020
 
Wahariri wamenunuliwa wanashindwa kuandika maovu sababu wanakimbizana alipo Rais ili kupata bahasha ya kaki
 
nadhani ilikua hakuna jipu la kutumbuliwa hapo - mtumbuaji alihisi tu ni jipu alipoanza akaona hakuna kitu akaamumu kufunga bandaji na kunyamaza
 
tunakumbuka basi....bora hata wewe umekumbuka Majaliwa ndo kasahau kabisaaaaa
Nakumbuka enzi za Professa Singira (Naamini alikuwa professa kweli kwa kumlinganisha na Dokta Rutengwe) mnaingia ukumbini na yeye anaanza "aria toa" na nyie mnaitikia "toaaa" anaigeuza karatasi inakuwa noti, mnapiga makofi, miluzi, mbinja na mayowe mnasahau kabisa kama mmeingia kwa kutoa fedha. Kama ana uwezo wa kugeuza Karatasi kuwa fedha ni kwa nini aliweka kiingilio?
 
Wanaotumbuliwa ni wale majipu yao yapo mikononi wale ambao majipu yao yapo vichwani hayatu
mbuliki.

Wanayapiga picha tuu na kuya
rusha watsap
 
Mimi Binafsi siamini baadhi ya yanayotendeka,naona kama nchi bado ipo kwenye MAIGIZO km ya yule MZEE WA MSOGA...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom