Je Waliowahi Kutendwa Hupenda tena?

Inatokea ukapenda tena lakini wenye mioyo ya chuma kama mie sijawahi kupenda tena toka nilivyotendwa ila naishi nao na kuzaa nao tu.Nalog off
 
Mapenzi is so phenomenal..... To understand Love the way inapaswa haiwezekani kamwe for kila mwanadamu aelewa vile yeye ataka.... Hilo ndo linafanya kuwe na tofauti in giving and receiving.... Nikirudi kwa huyo kundi A; Ni watu ambao wana a very pessimistic nature in looking at things na si love peke yake.... Anaamini kua ni so speacial na hivo u-special wake haiwezekani uende bure bila rewards ya kile ambacho amaamini, na hasa katika Mapenzi... BUT Life is a BITCH sometimes-hivo yaweza muonesha kua what s/he belives is not necessarily true, Na life ikifanya hivo (kumuonesha ukweli) Cruedly.... not gently ndo anapoishia a bad and sad ending....
... I loved the way you put it! Nikama amepata suprise ambayo hakuitarajia kabisa. Na ninachosema ata react na hiyo situation .. Am sure umewahi kusikia ... Battered woman syndrome ..kuwa anaweza jikuta kwenye kundi hilo kutokana na nature yake!
 
mmmh
unaweza kupenda tena lakini si rahisi kuwa kipofu wa mapenzi kwa mapenzi hayo ya baada ya kutendwa
 
Ukitendwa ni ngumu kupenda tena kwa dhati, lakini with time and kama utamppata atakayekupenda kwa dhati na kutokufanyia vituko wakati utafika utapenda sanaaa!!

Jamani mlio katika uhusiano, achaeni kutendana coz inaumaaaaa!
 
imo wanadamu tumetofautiana katika kila aspect... Hasa katika kuhimili maumivu ama kukabiliana na matatatizo.... Na katika mapenzi... That is the worst of all na hapo ndo zaidi saana... Watu wakitendwa wapishana jinsi ya kurespond; ama jinsi watavokua affected. Kuna watu wa aina tatu (i would say) thou there maybe more..

  1. kuna mtu anatendwa, but hakati tamaa.... Yeye kila siku anatendwa na kila siku falls again in love - tena sio ile ya mguu moja. No! But ile ya both feets in. Mara nyingi mtu wa namna hii anashindwa kabisa kuishi bila patner (yaani gap ya toka one relationship to another akijitahidi saana ni two weeks maximum); wana tabia ya kua desperate ile mbaya, hio mara nyingi tokana na kutojua their potential hivo kufanya wapenzi wao mara nyingi kuwachukulia advantage mpaka pale penye kutendwa.... This person mara nyingi hawanaga raha, na hata aweza jiua kwa ajili ya wapenzi..... Sad.
  2. kuna yule ambae akitendwa mara moja na hasa kama alipenda kuvuka mpaka with all his/her heart and soul ni kwamba mchezo hapo unakua umeisha!! No loving again.... Ever! Na akipata mtu(mwenza) na akahisi kuahisi kua s/he is falling in love, anakimbia haraka saana for hataki tena those feelings akiamini atatendwa tena. Hawa watu waweza pata mtu wa kumpenda ukweli kabisa but hawathamini hilo penzi wala they don't give a damn!
  3. kuna mwingine hupenda.... Na akitendwa, anaumia na kuugulia moyo wake kwa mda mreeeefu, hata miezi/miaka kadhaa. Then anarudi kwenye mstari na kuamini kua yule ex alikua tu mpuuzi na hakuona umuhimu wake, hivo basi falls in love again... Anaumizwa, anaugulia kwa mda mrefu, then again..... Mpaka ampate yule ambae anaona ni wake. Hawa watu huamini kua haiwezekani kabisa kua mwanadamu anaweza kosa mtu ambae watapendana sawa.....
gagurito missed you..... Habari yako bana!

to sum up; binadamu ni kiumbe complex sana
 
... I loved the way you put it! Nikama amepata suprise ambayo hakuitarajia kabisa. Na ninachosema ata react na hiyo situation .. Am sure umewahi kusikia ... Battered woman syndrome ..kuwa anaweza jikuta kwenye kundi hilo kutokana na nature yake!

Mkuu japo umeandika kimafumbo, nashukuru mungu nimedaka mawili matatu!
 
Ukitendwa ni ngumu kupenda tena kwa dhati, lakini with time and kama utamppata atakayekupenda kwa dhati na kutokufanyia vituko wakati utafika utapenda sanaaa!!

Jamani mlio katika uhusiano, achaeni kutendana coz inaumaaaaa!

Afadhari umewaonya!
 
Unataka kusema umesamehe na kusahau vyote? Kweli u'watofauti.

nimesamehe na kusahau. .
Ingawa sipo nae. .
Kuna umuhimu gani wa kuishi na kinyongo na mtu?
Wakati wewe nafsi inahangaika na kinyongo chako mwenzio anaendelea na maisha yake kwa furaha. . .
Kisa?
 
nimesamehe na kusahau. .
Ingawa sipo nae. .
Kuna umuhimu gani wa kuishi na kinyongo na mtu?
Wakati wewe nafsi inahangaika na kinyongo chako mwenzio anaendelea na maisha yake kwa furaha. . .
Kisa?

Kweli bhaaana kubadili tabia ndio mwendo aisee. Afta ol kuish kwa kinyongo sio deal. Tujifunze kusamehe na kusahau!
 
Kweli bhaaana kubadili tabia ndio mwendo aisee. Afta ol kuish kwa kinyongo sio deal. Tujifunze kusamehe na kusahau!

absolutely! Usisahau muda mganga. In time ukiruhusu nafsi vidonda hupona, na ukimpata mwenye mapenzi ya dhati raha iliyoje!
 
Hawajui coz mapenzi/kupenda kwaitaji muda, kumsoma mtu, kumchunguza mpaka kuja kuridhika nae. Hao wanaotendwa then baada ya muda mfupi wanapenda cdhan kma watathamini mapenzi yao! Mapenzi ya kukurupukia yanamadhara sana!



Gagurito and knowing that ndo Mapenzi?? Umsome kwanza?? Wanaopenda watu wenye tabia mbovu jammii yoote inaona ina maana hawajui kupenda?? Hapa umeongea kama vile wee ndo unachangua kua sasa ngoja sasa nipende, which is contrary. Ingekua hivo mbona basi hata unapotemwa ina maana roho isingeuma ungeji-tune kua sasa nisepende...
 
Napenda kufahamu juu endapo mtu ametendwa or alikwishawahi kutendwa ANAWEZA KUPENDA TENA? Nakama akipenda je atapenda kama alivyopenda awali? Na ni nini madhara yakutendwa katika mahusihano?

Kuna "karama" ambayo tumejaliwa na Mola ila wengi wetu either hatujui kama tunayo au hapendi kuitumia.. nayo ni karama ya kusahau yaliyopita....

Binadamu wote..hata kama umepata maswahibu ya aina gani.. "Unao uwezo mkubwa wa kusahau kama utapenda iwe hivyo" tunapishana kidogo katika uwezo wa ku-fine tune computer zetu upstairs.. yaani kichwani..

Jibu la swali lako...Yes we "Cain"... or Sorry..Yes we "Can" ....

Gagurito.. tunaweza sahau yote na kujenga mapya!
 
Nadhani mtu ukishatendwa unakuwa mhalisia zaidi. Ni kama vile unaanza kuishi maisha ya kidunia zaidi kuliko yale ya kufikirika.

Kutendwa ni wake up call. Hii ni kwa sababu kunakufanya utambue kuwa kumbe 'it can also happen to me'. Si unajua wanadamu wakati mwingine tuna mazoea ya kudhania kuwa mambo flani flani hayawezi kututokea....sasa ukishatendwa ndo unaamka sasa.

Ukishatendwa unatambua kuwa kumbe yaweza mtokea mtu yeyote na kwamba hakuna mwenye kinga dhidi ya hiyo dhahma. Wanasema hakuna mwalimu mzuri kama tajiriba. Kwa wale wanafunzi wazuri wa maisha, ulimwengu, na walimwengu wake kutendwa ni bonge moja la teachable moment.
 
Back
Top Bottom